Kilichofanyika Uwanja wa Manungu kule Mtibwa ni aibu kubwa sana

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano Uwanja wa Manungu wa Mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana.

Kuna ule uwanja wanatumia Polisi Tanzania upo Arusha inamaana Mtibwa wameshindwa kujifunza kupitia huo uwanja! Walichofanya Manungu ni kuweka ukuta tu yaani hamna maajabu.
 
Watangaze siku ya mechi kila shabiki aje na stuli yake
 
Arusha kuna uwanja gani zaidi ya sheikh Amri Abeid?
 
Hapo sijui ilikuwaje amekuja kutaja Arusha.

Kama ni Polisi Tanzania ni Uwanja wa Ushirika Moshi.
Tatizo lako uangalii NBC premier league, ukitoa ushirika na uwanja wa Arusha Kuna uwanja wanatumia polis Tanzania ni mzuri kinoma
 
Arusha kuna uwanja gani zaidi ya sheikh Amri Abeid?
Tatizo lako uangalii NBC premier league, ukitoa ushirika na uwanja wa Arusha Kuna uwanja wanatumia polis Tanzania ni mzuri kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…