TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Kiukweli Simba wamevuna walichokipanda, siku zote kibri haifai katika maisha ya mwanadamu.
Hawa viongozi wa Simba wana midomo mirefu sana, alichowafanyia washabiki kwenye mechi yao na mtani kamwe washabiki hawawezi sahau hivyo walipaswa kuomba radhi kwa washabiki wao kabla ya mechi na Keizer Chief lakini kutokana na Kibri ya viongozi wao na msemaji wao wakaona washabiki ni wapumbavu mwishiwe laana imewaandama na kuwavaa wakapigwa mtungi goli 4 kwa Buyu.
Simba na Yanga punguzeni kibri, mna mikia mirefu sana kiasi ambacho mnadharau mpaka washabiki wenu, watu wamechoka na timu zenu za janja janaja azita upeleka popote mpira wa Bongo.
Ona sasa malipo ni hapa hapa duniani, haiwezekani mtu atembee kwa miguu toka Kigoma au Moro harafu anafika mnakimbia mechi ,laiti kama mngecheza mechi ya mtani ingewasaidia sana Simba kupata fitness na tactics.