kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Aug 27, 2017 #21 shayrose said: Timu vipusa hawawezi kuja hapa Click to expand... Kipusa = pembe ndogo ya kifaru
medisonmuta JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 2,400 Reaction score 1,424 Aug 27, 2017 #22 Kwa maana hiyo, domo atakuwa hajafanya infringment...
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,465 Reaction score 3,615 Aug 27, 2017 #23 Zawadi B Lupelo said: Ni kweli ideas zinafanana lakini je wewe unaona kwenye hiyo idea kuna kipi ambacho kinahusisha ufundi? Watu wangapi wana idea kama hiyo? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unahalalisha wizi wa nyimbo wewe
Zawadi B Lupelo said: Ni kweli ideas zinafanana lakini je wewe unaona kwenye hiyo idea kuna kipi ambacho kinahusisha ufundi? Watu wangapi wana idea kama hiyo? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unahalalisha wizi wa nyimbo wewe