Kilichomnyima nafasi miss Tanzania 2016 shindano la miss world

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
watanzania ni watu wa ajabu sana .wanalalamika kwamba miss tanzania 2016 kapigwa chini na ile project yake ya masai dondosha wembe na kuchukuliwa na miss kenya si kweli
Masai dondosha wembe ni project nzuli ila alikua anafanya movie na sio real.. In miss world they wants reality show...sio movie...kama mwenzao alivopeleka hydrociole project watu wenye tatizo lile walionekana sema miss akawa anasaiidia kuwatibu na kuwacheer up...asa unatuonyesha ukeketaji na hakuna realistic anaekeketwa ni ww...c wanaona this is not real but a story tuu with director in America they can make zombies ,alliens and so many others kwaiyo to them Masai dondosha wembe was just a movie go and watch it...

angalieni zile project za kina miss nepal.miss indonesia alieibuka mshindi,miss india ,miss kenya nk.
miss tanzania hajafanya kitu chochote kwa jamii kaact movie yake kapeleka .mlitaka msaidiweje.
nadhani kwa tz tatizo ni muda miss anapatikana week hii week ijayo anaenda miss world anakuwa hajapata hata muda wa kutumikia jamiii yake na kuleta impact inayoonekana wenzetu mtu anakaa mwaka anakuwa ashafanya mambo kibao anakuwa na cha kuonesha .sasa diana anapeleka movie kweli halafu mnalia eti ilikuwa nzuri kama ni movie miss mexico angepeleka telemundo yake au miss philiphines angepeleka yake pangetosha kweli?
watanzania tujipange .halafu acheni kumtukana miss kenya ni upuuzi uliopitiliza .
 
Tuseme Lundenga na timu yake nao hawajui nini Miss Tanzania anatakiwa afanye huko? au hata Lundenga commettee wote hawajui vigezo vya kuwania u-miss huko duniani? Hii itakuwa ajabu la tatu kwa nchi ya Tanzania baada ya lile la Siasa na michezo yote hasa futiboli
 
wanajua kuandaa show tu hawana habari zingine nadhani
 
Ningeshauri,miss wa mwaka uliopita ndiye awe Miss atakayeliwakilisha taifa kwenye mashindano ya Dunia.

Namaanisha,Miss Tz 2015 awe ndiye mwakilishi kwa mwaka 2016 na Miss Tz 2016 awe maakilishi Miss World 2017.

Kwa sababu inampa muda mwingi wa kujiandaa,yapata mwaka mzima na kuangalia vipaumbele na changamoto za kukabiliana nazo anavyojiandaa kuliwakilisha taifa.

Pia kamati itapata muda wa Kumfunza na kumshauri katika project yake atakayoiandaa na wadau pia watampa ushauri ili aweze kufanya vema.

Nchi nyingi zinafanya hivyo na ndizo hujitahidi kufanya vema. Miss TZ ni ngumu kushinda kwa sababu hukaa karibia wiki moja pekee kisha huhitajika kiufika kambini kujiandaa na Miss World. Mtu huyu atapata muda upi wa kuandaa project yake ili iwe na ushawishi?

Kwa mantiki hiyo,nashauri Tanzania isiwe na Mwakilishi mwaka ujao badala yake MissTz 2017 awe mwakilishi mwaka MW 2018.

Nawasilisha.
 
mmmh patamu hapo sio documentary tu mavazi hukuon ndugu yangu ,skuna je?tz hatupo serious kwenye jambo lolote miss kaenda na nguo zake za kariakoakiambiwa avae gauni la usku anaenda kuvaa kifauni kinaekeaa kama kunamabwa na miba miba ,akiambiwa avae bitch wear akaenda kuvaa mi nguo ya kushona na uzi eti utamaduni,manywele yenyewe sijui alinunua kkoo yaaan kwangu ilikua ni aibu though yeye binafsi alijitahid ila vitendea kazi ni tatizo
 
umeshauri vizuri mkuu . hatuko serias mtu anaenda na movie eti
 
Penye ukweli tuseme miss wetu alienda onyesha uhodar wa watanzania kushinda mitandaon. Kutwa nzima yupo IG anachambana,analalamika na kulike mipasho.
 
hakuwa na kitu chochote sijui kama alipewa support yule maana nguo zinaonesha kashonea ngaramtoni arusha
 
yani lundenga awe kiongozi kwenye kamati ya miss Tanzania halafu mtegemee kushinda?? nadhani haya ndio maajabu zaidi.
 
na hawa madisigner wa ajabu ajabu bongo ambao hawajui kudesign walishindwa kumsapot hata kwa mkopo?hawa wadada wa mjini wanaopenda kick walishindwa au ndo shobo mtu akishafanikiwa kila mtu anajikutaa anamjuaa yaan bongo kila mtu ni mnafki sio simba sio chui mpaka sisimizi ni wanafki anyway arudi tu bongo work done ilikuwa equal to zeroooooooooooooooooooooooooooooo
 
Penye ukweli tuseme miss wetu alienda onyesha uhodar wa watanzania kushinda mitandaon. Kutwa nzima yupo IG anachambana,analalamika na kulike mipasho.
Watz hatufanyi maandaliz ya kueleweka halaf mtu akishafika kwenye mashindano tunatumia efforts kubwa bila kusahau hatuna misingi ya kubeba ushindi.. Diana is good alikuwa na project kali she is social and good looking lakini hakuwa na mentor hakuwa na designer hakuwa na team around her hakuandaliwa kuwa mshindi natamani tujifunze kujiandaa katika kila nyanja Olympics timu za taifa urembo and so
 
Kwahiyo hao wakenya wameupata umis wa dunia?

Niwatanzania pekee walio kosa!!!
 
Naskia kamati ya miss tz walimtenga,alifanya maandaliz yeye kama yeye .
 
Naskia kamati ya miss tz walimtenga,alifanya maandaliz yeye kama yeye .[/QUOTEndio boyfriend wake alimnunuliaa nahisi atakuwa baba yeyooooo manake sio kwa selection zile
 
Kwahiyo hao wakenya wameupata umis wa dunia?

Niwatanzania pekee walio kosa!!!
no issue ni kwamba watu wanadai eti miss kenya alifanya figisu miss wetu akapigwa chini na project yake
 
nasikia linda alitaka kumsupport huko marekani yeye na kamati ya miss tz wakaleta jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…