TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele!
Hiki ndicho kilichomkuta Leo Mwanakwerekwe,wakati mdogo wake aitwaye Halima Maturunganya alipoamua kusaula nguo zake akabaki na mfuniko wa mboga huku akinengua na kuserebuka mbele ya Wakwe zake!
Kilichofuata baada ya hapo hatokuja tena kurudia maana kipigo alichopokea kimemfanya awe kibogoyo maisha yake yote!
Kibaya zaidi wakwe zake wameyachukua yale meno na kuondoka nayo huku wakisema siku atakapoenda kuwaomba radhi,basi watamrudishia meno yake akayatunze kwenye mkoba wake akiwa anayaangalia anabaki kutabasamu!
The teh teh teh teh teh teh chezea wakwe weyeeeeeeee!