Kilichomshangaza Nyerere Kwa Taifa Stars

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
...Ilikuwa ni mechi ya kusherekea uhuru Disemba 14 mwaka 1975 dar Kati ya Tanzania na Sudan , kituko cha kwanza ni pale jezi zilivyofanana na za timu ya Sudani, Refa akaagiza timu mwenyeji avue jezi, kwa maana iyo Taifa stars ikabaki vifua wazi , kipindi icho jezi zilikuwa za shida kweli[emoji3][emoji3]

Kituko kingine cha aibu ni kuwa mchezaji wa Taifa Stars , Jumanne Masiment alipigana na mchezaji wa Sudan uwanjani mbele ya Mzee Nyerere na Rais wa Sudan . Japo Taifa stars ipishinda kwa goli moja likifungwa na Shabani katwila , Toka Siku hiyo Mzee Nyerere hakuwahi tena kwenda uwanjani kuangalia mpira.....
 
Aroon umetisha kwa kumbukumbu hii
 
Usingeweka picha wangesema uzi wako ni CHAI YA MAJI YA MTONI isiyo na mchai chai wala masala. hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…