Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
...Ilikuwa ni mechi ya kusherekea uhuru Disemba 14 mwaka 1975 dar Kati ya Tanzania na Sudan , kituko cha kwanza ni pale jezi zilivyofanana na za timu ya Sudani, Refa akaagiza timu mwenyeji avue jezi, kwa maana iyo Taifa stars ikabaki vifua wazi , kipindi icho jezi zilikuwa za shida kweli[emoji3][emoji3]
Kituko kingine cha aibu ni kuwa mchezaji wa Taifa Stars , Jumanne Masiment alipigana na mchezaji wa Sudan uwanjani mbele ya Mzee Nyerere na Rais wa Sudan . Japo Taifa stars ipishinda kwa goli moja likifungwa na Shabani katwila , Toka Siku hiyo Mzee Nyerere hakuwahi tena kwenda uwanjani kuangalia mpira.....