Kilichomshinda Shujaa Magufuli kumpigania Membe Jumuiya ya Madola Rais Ruto amekiweza kumpigania Raila AUC!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli

Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa kujieleza

Ahsanteni sana 😄
 
Ruto kataka kumnyamazisha babu asimsumbue kwenye kufaidi keki ya taifa
1739389078189.jpg
 
Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli

Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa kujieleza

Ahsanteni sana 😄
Ruto anaweka mbali matatizo ya maandamano yasiyo kwisha!
 
Back
Top Bottom