J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 14, 2025 #1 Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa kujieleza Ahsanteni sana π
Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa kujieleza Ahsanteni sana π
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 14, 2025 #2 Jiwe alikuwa na roho mbaya
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 14, 2025 #3 Ruto kataka kumnyamazisha babu asimsumbue kwenye kufaidi keki ya taifa
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Feb 14, 2025 #4 Erythrocyte said: Jiwe alikuwa na roho mbaya Click to expand... Sio kweli!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Feb 14, 2025 #5 johnthebaptist said: Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa kujieleza Ahsanteni sana π Click to expand... Ruto anaweka mbali matatizo ya maandamano yasiyo kwisha!
johnthebaptist said: Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa kujieleza Ahsanteni sana π Click to expand... Ruto anaweka mbali matatizo ya maandamano yasiyo kwisha!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 14, 2025 #6 kipara kipya said: Sio kweli! Click to expand... Kama huna ubongo sisi tufanyeje sasa
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Feb 14, 2025 #7 Erythrocyte said: Kama huna ubongo sisi tufanyeje sasa Click to expand... Huwezi kuwa unasema uongo uangaliwe!
Erythrocyte said: Kama huna ubongo sisi tufanyeje sasa Click to expand... Huwezi kuwa unasema uongo uangaliwe!