Kilichonifanya niichukie udsm

kauli za sizitak mbichi hizi,,,,udsm haichukiwi mdau,sema ameikosa,,,,kama anaichukia mbona aliichagua???
no mkuu udsm ni chuo ninachokipenda ndo nimemaliza diploma yangu hapa ya statistics, ila kuna v2 vnafanya ukereke kpindi chote ndo 2naambiwa mwishoni ungekuwa wewe ungefeel the same way that i feel
 
Katika msafara wa mamba kenge pia wapo, nyie mnaonidisi sishangai uwezo wa kufikiri ni mdogo, nafurah kwa wale ambao wamenipa mwelekeo nini cha kufanya na Mungu awabariki nyie ndo wasomi mnao2mia elimu zenu vizur kwani elimu inafundisha busara pia, nimeshapata information ninazotaka.
 
Yani nimechaguliwa udsm(baE) na nacte kutokana na udsm kuwa na nafasi alaf leo naambiwa i am not admitted is this fair?
Hueleweki!! Ndio maana umekosa admission. UDSM hawawezi kuchukua vilaza kama wewe.

Hueleweki!! Ndio maana umekosa admission. UDSM hawawezi kuchukua vilaza kama wewe.

karibu shoga alaf wewe inaonekana kuna pedeshee linakucheda malaya mkubwa wewe! Mimi cyo kilaza na cjabebwa kama wewe nina upper second ya statistics alaf 4m 4 nilipata div 1 ya 9 sasa kama unataka mboo sema 2kupe
 
no mkuu udsm ni chuo ninachokipenda ndo nimemaliza diploma yangu hapa ya statistics, ila kuna v2 vnafanya ukereke kpindi chote ndo 2naambiwa mwishoni ungekuwa wewe ungefeel the same way that i feel

kama umefanya diploma udsm hawawez kukuacha,,,,baada ya hizi ckukuu,anzia TCU,then nenda kwa director of undegraduate udsm,utapata suluhu
 
Hebu nikumbuke...!! UDSM wanatoa diploma ya nini!??

mkuu Baba V wanatoa kuanzia certificate,ipo certificate of law,ipo ya cultural heritage ipo ya computer,na kuna diploma zake pia,pamoja na hii ya statistics,sema huwa hawazitangaz kiviile
 
Last edited by a moderator:
mkuu Baba V wanatoa kuanzia certificate,ipo certificate of law,ipo ya cultural heritage ipo ya computer,na kuna diploma zake pia,pamoja na hii ya statistics,sema huwa hawazitangaz kiviile
Nashukuru mkuu kwa kunisaidia wewe msomi!
 
Last edited by a moderator:
karibu shoga alaf wewe inaonekana kuna pedeshee linakucheda malaya mkubwa wewe! Mimi cyo kilaza na cjabebwa kama wewe nina upper second ya statistics alaf 4m 4 nilipata div 1 ya 9 sasa kama unataka mboo sema 2kupe

daaaah,matusiiiiii
usitukane mdau,unaweza kosa ushauri kabisaaaa,halafu UDSM huwa wanataka watu wenye maadili
 
Ok hapo nimekupata sasa, kwa hiyo nacte wanasemaje? wanawapeleka chuo kingine? unajua udsm wanaiamini sana tcu kuliko nacte, sema nacte nao wangewapeleka udom na uhakika hakuja jaa bado, udsm nafasi zilishajaa

hili linawezekana,mkuu New Manase SUA uliomba???na vyuo vingine uliomba vyuo gani????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…