New Manase
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 294
- 39
- Thread starter
-
- #61
Dah! Nasikia faraja sana asante Mkuuutapata tu nafasi,tena sio taasisi ni chuo kikuu kabisa tena cha serikali
unajua hawa wa2 wanakera mimi ni mstarabu lakini wananichokoza
mkuu Baba V wanatoa kuanzia certificate,ipo certificate of law,ipo ya cultural heritage ipo ya computer,na kuna diploma zake pia,pamoja na hii ya statistics,sema huwa hawazitangaz kiviile
mimi sikusoma 4m 6 nilichukuliwa diploma moja kwa moja nilivomaliza 4m 4, itabdi niende kule nactekama umefanya diploma udsm hawawez kukuacha,,,,baada ya hizi ckukuu,anzia TCU,then nenda kwa director of undegraduate udsm,utapata suluhu
unajua hawa wa2 wanakera mimi ni mstarabu lakini wananichokoza
dah mkuu nakuelewa mi itabdi nisiwajibu k2 manake na mimi hapa naonekana sina ustarabu, asante mkuundo JF HII,,,,SI WOTE WATAKUBALIANA NA MTAZAMO WAKO,,,,,ANACHOKOZWA KIKWETE,ANACHOKOZWA LISSU IWE WEWE New Manase ???
My shame.. mkuu nimepitwa na mengi kumbe. nilidhani Udsm bado ni ile ya miaka ile..
dah mkuu nakuelewa mi itabdi nisiwajibu k2 manake na mimi hapa naonekana sina ustarabu, asante mkuu
dah mkuu nakuelewa mi itabdi nisiwajibu k2 manake na mimi hapa naonekana sina ustarabu, asante mkuu
Kweli Keisha asante sana kwa kunitia moyo Mungu akubariki, yani hawa itabidi niwazoee 2,Pole sana. Wewe ni Kichwa na ndo maana ukaleta Uzi huu hapa wadau wakupe mwanga , hayo maneno ya waja yasikurudishe nyuma. Fuatilia kwa karibu , utafanikiwa. Ki ukweli kilichokutokea kingemtokea yeyote asingefurahi. Matusi na kejeli wkt mwingine zinaboa...

Pole sana. Wewe ni Kichwa na ndo maana ukaleta Uzi huu hapa wadau wakupe mwanga , hayo maneno ya waja yasikurudishe nyuma. Fuatilia kwa karibu , utafanikiwa. Ki ukweli kilichokutokea kingemtokea yeyote asingefurahi. Matusi na kejeli wkt mwingine zinaboa...
karibu shoga alaf wewe inaonekana kuna pedeshee linakucheda malaya mkubwa wewe! Mimi cyo kilaza na cjabebwa kama wewe nina upper second ya statistics alaf 4m 4 nilipata div 1 ya 9 sasa kama unataka mboo sema 2kupe
mda bado unao ukifanya masterz mbona unaipatahihihihiiiiii,me si msomi bhana msomi Mwigulu Nchemba ana festi kilasi
mda bado unao ukifanya masterz mbona unaipata
masterz ya udsm ndo yenyewe, c unaenda udsm?in shaa llah mungu akijaalia ntaanza mwishoni mwa oktoba this year,