Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
mdau,,,,kwa mtaji huu,,,UDSM usingeish zaid ya semester 2,DIT palikufaa sana,ili ujenge maghorofayaporomokePia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
mdau,,,,kwa mtaji huu,,,udsm usingeish zaid ya semester 2,dit palikufaa sana,ili ujenge maghorofayaporomoke
Assistant Tutor Jukwaa litapoa tu na kurudisha heshima yake.wewe mkoroshokigoli ungeanzisha uzi wako, hatupo kwa kusifia vyuo hapa, maana humu ndani kuna watu wamesoma havard, na dit wapo mafisadi wengi tu. Aliyeanzisha huu uzi yeye kasema anichukia udsm kwa sababu imekataa kumu-admit, ingawa naona hayupo sahihi kabisa maana amesema yeye alichaguliwa na nacte,
...swali, je nacte ndio taasisi ya kuchagua wanafunzi kwenda vyuo vikuu?, na kosa la udsm liko wapi?
Assistant Tutor Jukwaa litapoa tu na kurudisha heshima yake.
Tuwape wiki mbili tu.
hahahahaha! Yani hazitambuliwi makazinihahahhaahahaaa,umenchekesha sana asubuhi hiiii,yaani umejitetea kiutu uzima sana,labda New Manase mwenyewe aje atuambie maana ndo alochagiza hilo la maharage ya mbeya kufananishwa na Masters za Mzumbe
huyo assistant tutor hajaelewa mada naona labda nimuelekeze mada yangu inamaanisha nini? Kwanza kazi wanayoifanya nacte hajui kwahyo mi ningeomba awe anachangia v2 kwa uhakika, ni mtazamo ctaki chuk wala ma2siAssistant Tutor Jukwaa litapoa tu na kurudisha heshima yake.
Tuwape wiki mbili tu.
sasa ndugu kazi wanayofanya tcu na nacte ni sawa sawa mkuu cjui umenipata?....kwani nacte wanaweza kukuchagua kwenda udsm?, udsm haipo chini ya nacte, and it is above nacte. Au unamaanisha tcu? Kama ni nacte wamekuchagua basi udsm wanaweza kuwa right. Embu angalia vizuri hiyo selection
sasa mkuu iko ivi kuna post m2 ka2ma kasema kuna jamaa kaingia na digrii feki kapata admission letter and also bad thng masterz yao iko kama ya KIU hazina uzito, mi ninandugu wengi tena bro wangu kasoma masterz ya mzumbe akaenda nje kuxoma ilikuwa shida mpaka ikabdi atafute mwanasheria, ila cjui cku izi maybe inatambulika!hahahahhaaa,,,,unamaanisha nini mdau Activister
icho kichwa cha habari nimekiweka kuvutia wa2 kunipa ushauri bt udsm ndo home lazma ntafanya masterz hapo ya uhandisi ila v2 vinavyokera ni utawala 2 baxi msinifikirie vbayawewe THOMAS SANKRA JR. ungeanzisha uzi wako, hatupo kwa kusifia vyuo hapa, maana humu ndani kuna watu wamesoma havard, na dit wapo mafisadi wengi tu. Aliyeanzisha huu uzi yeye kasema anichukia udsm kwa sababu imekataa kumu-admit, ingawa naona hayupo sahihi kabisa maana amesema yeye alichaguliwa na nacte,
...swali, je nacte ndio taasisi ya kuchagua wanafunzi kwenda vyuo vikuu?, na kosa la udsm liko wapi?
tcu na nacte iko ivi tcu=form 6 na nacte=diploma....kwani nacte wanaweza kukuchagua kwenda udsm?, udsm haipo chini ya nacte, and it is above nacte. Au unamaanisha tcu? Kama ni nacte wamekuchagua basi udsm wanaweza kuwa right. Embu angalia vizuri hiyo selection
ha2tishani 2napeana ushaur 2 ndo maana ya HOME OF THE GREAT THINKERS....kweli kabisa activister
sasa mkuu iko ivi kuna post m2 ka2ma kasema kuna jamaa kaingia na digrii feki kapata admission letter and also bad thng masterz yao iko kama ya KIU hazina uzito, mi ninandugu wengi tena bro wangu kasoma masterz ya mzumbe akaenda nje kuxoma ilikuwa shida mpaka ikabdi atafute mwanasheria, ila cjui cku izi maybe inatambulika!
sasa mkuu iko ivi kuna post m2 ka2ma kasema kuna jamaa kaingia na digrii feki kapata admission letter and also bad thng masterz yao iko kama ya KIU hazina uzito, mi ninandugu wengi tena bro wangu kasoma masterz ya mzumbe akaenda nje kuxoma ilikuwa shida mpaka ikabdi atafute mwanasheria, ila cjui cku izi maybe inatambulika!
Hilo neno mkuu, nakuunga mkonokuna vyuo unaweza ukasoma kisha ukajiua,,,,mungu anisaidie,
KIU wale wana matatizo sana,ndo maana huwa nashauri mtu asome govt institution,zina uhakika sana maana zinatambulika bila shaka,,,,certificate ya udsm au cbe ni bora kuliko cjui ya data star college kariakoo
lazima ntarudi udsm nataka niende nkakomae na director wa undergraduate studies, lazma ntawegea feedbak wakuu!....asante kwa kunielewesha hilo, i never knew about that, na pole sana, embu jaribu kufatilia kwa kina