Kilichonifanya niichukie udsm

pole sana,uschukie taratibu kamuone Director of under studies,atakupa maelekezo. Lakn pia,dip yako umeitumiaje!? kama ya ucc hahaaah majanga!
dipl ya statistics alaf mi nilifaulu kwa daraja la kwanza 4m 4 nkaanza moja kwa moja diploma
 
....kwani nacte wanaweza kukuchagua kwenda udsm?, udsm haipo chini ya nacte, and it is above nacte. Au unamaanisha tcu? Kama ni nacte wamekuchagua basi udsm wanaweza kuwa right. Embu angalia vizuri hiyo selection
Mkuu tcu na nacte ni tume ambazo zinafanya kazi/majukumu yanayofanana ingawa nacte haijawa maarufu kama ilivyo tcu ndio maana unadhani mtu aliyechaguliwa na nacte kwenda ud haqualify no anasifa isipokuwa tu kuna mistake ndogo hizi tume mbili zimefanya ndio maana kuna wanafunzi wanafika vyuoni hawaoni majina ilihali mwanzo yalikuwepo. Mimi ni moja ya wanafunzi waliokuwa chini ya nacte ingawa sijapata tatizo la rafiki yetu.
 
Usichukie udsm bali chukia majigambo uliyofanya mtaani kwenu baada ya kuskia umechaguliwa udsm. Ona sasa utawaambia nn uliowaacha kitaa..

Anyway pole sana.

kweli, kama alishajigamba mitaani aibu kaka ila pole sana. Try next time.
 
Kuna baadhi ya vijana wamechafua upepo hili jukwaa.
Ukitoa ushauri unapewa kauli zisizo na STAHA.

Inahitaji uvumilivu kupambana nao ili warudi kwenye mstari.

hahahaha,ujue wachangiaji weeeengi wa humu ni expected fest yr
 
kweli, kama alishajigamba mitaani aibu kaka ila pole sana. Try next time.
we huelewi umeingilia mada kichwa kichwa, mimi nimesoma udsm diploma alaf nijisifu tena cwez kukosa ntaenda kukomaa mpaka nipate naamini vgezo ninavyo na cwez kutry next time, <ctak matusi>
 
inaonekana we unachunga sana kauli....kione kilivyo kama toto kijiwe stiki... DIT.. Ni ya kuilinganisha na Ud? Au ndo kuwashwa nyo.o,ko wewe. Njoo COET NIMEJAA TELE KAMA ULIVYO MTWANGIo wangu.
mh! jamani hiv vyuo mna hisa? kwan si mnasoma tu na mnamaliza wanaingia watu wengine ya nn kutukanana
 
mh! jamani hiv vyuo mna hisa? kwan si mnasoma tu na mnamaliza wanaingia watu wengine ya nn kutukanana
Huyu mshkaji(micharazo) asikusumbue akili kwani elimu haijamsaidia ye kafata udsm hajafata elimu msamehe bure
<ctaki matusi nataka hoja>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…