Kilichonikuta kanisani leo

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Leo nikiwa kanisani mapema sana, ndipo mchungaji akasema kila mtu amwambie jirani yake "deni langu limelipwa na Mungu"

Sasa nami ile nageuka pembeni yangu ili nisema neno hilo la pastor kwa jirani paah..! namuona baba mwenye nyumba wangu ...

Ikabidi niseme kwa nguvu kabisa maneno ya mchungaji.. naona tu baba mwenye nyumba katoka kanisani kakunja ndita kama vile mjusi kabanwa na mlango..

Nimerudi home nakuta chumba changu kimepigwa kufuli. Huenda baba mwenye kaenda kunibadiliahia chumba..!
 
Hahaahahaaa pole kalalee kwa rafik subri.hasir zake zitakapo koma mfuate kwa utaratib
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2021 Yaani bado tu unaenda kanisani ama msikitini kusali kueneza tamaduni za watu?
 
Hakuna vya bure mjin hii we lipa tu kodi aisee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…