Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
233
Reaction score
522
Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na mlinzi anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka.

Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza mlinzi akanijulisha mwanadada ameweka tembe kwa kinywaji changu niliagiza kinywaji kingine .

Baadaye nikamwambia mwanadada tuende zetu kwangu akakubali. tulitoka tukaingia kwa gari langu tukaanza safari mwanadada alikua na mkoba wake.baada ya mwendo wa kilomita 10 nikajifanya gari lina shida nikaizima nikamshawishi mwanadada ashuke asukume gari.

Pindi tu aliposhuka na kusukuma gari niliwasha na nikaenda kwa mwendo wa kasi .Nilipofika kwangu kilomita 20 niliangalia mkoba wake nikapata tembe hamsini za kufanya watu walale.Hizi ndio anatumia kuwekea watu kwa kinywaji na kuwaibia.Nilifanya makosa kweli
 
Aisee🤔
 
Hapo ndipo unapokutana na mstari utakaokambia hii ni hadithi ya uongo ya kutunga. Hata kama hiyo gari yako ni Bajaji, huwezi kumwambia mwanamke shuka usukume gari, hata Mkurya hafanyi hivyo kwa mwanamke
alisaidiwa na wanaume walikuja kwa sababu ya minisketi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…