Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
HahahaHapo ndipo unapokutana na mstari utakaokuambia hii ni hadithi ya uongo ya kutunga. Hata kama hiyo gari yako ni Bajaji, huwezi kumwambia mwanamke shuka usukume gari. Hata Mkurya hafanyi hivyo kwa mwanamke
wanaitwajeNilipofika.kwenye neno BAWABU nikajua huyu anaweza.kuwa.jiran kitoka KANAIRO
Dah shukuru uliwahi kutembea wangeiba kila kitu pole sana aisee .Makamanda wenzangu min -me , secretarybird , Castle_Lite , dosho12 , Mshana Jr , MENEMENE TEKERI NA PERESI na makamanda woteeeeeee ambao ni wadau wa VINYWAJI CHANGAMSHI kwa Ujumla bila kumsahau mdogo angu Monetary doctor..
Ilikua siku tulivu sana miaka mitano iliyo pita nikiwa maeneo ya Mbagala nionane na rafiki yangu mmoja..
Nilikua na pesaa nyingi mfukoni nikakaa maeneo ya uwanjani Kuna meza zinawekwaga pale nikanywa flying fish kama mbili mida ya jioni jioni kagiza ka USONI rafiki yangu hakutokea ile nimeagiza flying fish ya tatu nilikua natumia glass kunywa
Jamaa kama watatu wakaja mmoja akiwa ana yumba akagonga chupa na glass niliyo kua nakunywa vitu vikadondoka nikawai chupa ikawa imebakia nusu.. yule jamaa akasema aninunulie ingine nikakataa..muhudumu akaleta glass ingine ikiwa imeloa loa..
Nikamimina ile flying fish ilio bakia kwenye glass...akili ikanambia kunywa yotee nyanyuka ondoka sepa ili eneo
Kweli nikanyanyuka nikapanda bajaji nikawa nimeondoka nikafika maeneo ya center moja Huwa wananiita Brother white nikatafuta Kuna ki restaurant nikaingia Nika agiza nyama choma na chips nikiwa nasubilia nikawa nakula mishikaki kidogo nikatafuta Kona nikakaa ilikua kama saa tatu ivii usiku..
Nikazinduka pale saa nane na nusu usiku..nilipo sinzia ni kama dakika kadhaa kumbe nazinduka saa nane nikiwa nashangaa missed call kama zoteee yaani acha TU
Pesa mfukoni zipo zotee...wale jamaa nikawashukulu pale wakasema brother white sio kawaida Yako..sisi tulikua tunajua umechoka sana uka amua upumzike haaahaa ndio nikawapa mkasa wa mbagala wale jamaa wa mbagala uwanjani sijui waliniwekea nini kwenye glass yangu
Wale jamaa wa mbagala mtego ungetiki ningefanywa nini pale ugenini pona yangu nilivyo nyanyuka ni kunyanyuka pale na kusepa
Huwa napaogopa sana Mbagala tangu siku iyo NIMEKUA mtu makini sana kwenye mwenendo napo kutana na ma stranger nipo makini mno mno
Makamanda wenzangu min -me , secretarybird , Castle_Lite , dosho12 , Mshana Jr , MENEMENE TEKERI NA PERESI na makamanda woteeeeeee ambao ni wadau wa VINYWAJI CHANGAMSHI kwa Ujumla bila kumsahau mdogo angu Monetary doctor..
Ilikua siku tulivu sana miaka mitano iliyo pita nikiwa maeneo ya Mbagala nionane na rafiki yangu mmoja..
Nilikua na pesaa nyingi mfukoni nikakaa maeneo ya uwanjani Kuna meza zinawekwaga pale nikanywa flying fish kama mbili mida ya jioni jioni kagiza ka USONI rafiki yangu hakutokea ile nimeagiza flying fish ya tatu nilikua natumia glass kunywa
Jamaa kama watatu wakaja mmoja akiwa ana yumba akagonga chupa na glass niliyo kua nakunywa vitu vikadondoka nikawai chupa ikawa imebakia nusu.. yule jamaa akasema aninunulie ingine nikakataa..muhudumu akaleta glass ingine ikiwa imeloa loa..
Nikamimina ile flying fish ilio bakia kwenye glass...akili ikanambia kunywa yotee nyanyuka ondoka sepa ili eneo
Kweli nikanyanyuka nikapanda bajaji nikawa nimeondoka nikafika maeneo ya center moja Huwa wananiita Brother white nikatafuta Kuna ki restaurant nikaingia Nika agiza nyama choma na chips nikiwa nasubilia nikawa nakula mishikaki kidogo nikatafuta Kona nikakaa ilikua kama saa tatu ivii usiku..
Nikazinduka pale saa nane na nusu usiku..nilipo sinzia ni kama dakika kadhaa kumbe nazinduka saa nane nikiwa nashangaa missed call kama zoteee yaani acha TU
Pesa mfukoni zipo zotee...wale jamaa nikawashukulu pale wakasema brother white sio kawaida Yako..sisi tulikua tunajua umechoka sana uka amua upumzike haaahaa ndio nikawapa mkasa wa mbagala wale jamaa wa mbagala uwanjani sijui waliniwekea nini kwenye glass yangu
Wale jamaa wa mbagala mtego ungetiki ningefanywa nini pale ugenini pona yangu nilivyo nyanyuka ni kunyanyuka pale na kusepa
Huwa napaogopa sana Mbagala tangu siku iyo NIMEKUA mtu makini sana kwenye mwenendo napo kutana na ma stranger nipo makini mno mno
Nilikuja KUGUNDUA pombe na mf. Ugolo na NYINGINEZO Huwa hazitaki mtu alie TULIA kwenye KITI.Dah shukuru uliwahi kutembea wangeiba kila kitu pole sana aisee .
Dah Castle _lite embu kaneno ka mwisho kafute kaka watakatumia kutuumiza sasa hivi jamvini .Hapa ulicheza kama Pele.
Mm ningerud lile eneo nianze vagi na huyo muhudumu aliyekuletea Glass.
Binafs situation kama hizo hazijanikuta.
Bad experience yangu ya bia ilikuwa Miaka kadhaa nyuma nakaa Kinondon stereo, nikapata kampan ya jamaa mmoja jiran. Ana mastory huyo πππeneo Lote la Kinondon anawajua mastar. Mpaka kina TID , Ben Kinyaiya, wale majamaa wa FM academia, Akudo, tumekaa nao sana Kupata nao kimea.
(Nyuma ya Mango garden)
Yaan Mida nikitoka job kabla hata sijafika magheton jamaa anakuendea hewan. Anakuita njoo sehem flan. Ukienda anakuanzishia bia 1.
Story kwa sana. Kuja kushtuka saa 6 hii hapa. Alaf ww umewanunulia bia 5 tano wakat ww walikulambisha kamoja πππ jamaa sijui alikuwa na dawa yule.
Alionea sana , kama mwaka hivi.
pona pona yangu nilihama ule mitaa ndio mazoea yakakata.
Uwana gan huo kila siku ni mm tu ndio nasimamia shoo. ππππ yeye ni mdomo tu mzaramo yule.
Ndiyo maana kaka mim ni muoga sana kwenda kulewa pekee yangu ,napenda niwe na mtu au watu japo wawe wana kibunda pia sio wanitegemee kwa kila kitu labda kama ni vigen z vyangu hapo sawa nitagharamika kila kitu ila kikubwa niwe na kampani kwasababu mimi zikipanda kichwani napenda sana mziki sasa naweza kuwa nipo nabargain na DJ aniwekee ngoma kali mara niwekewe vitu vibaya nikate motoNilikuja KUGUNDUA pombe na mf. Ugolo na NYINGINEZO Huwa hazitaki mtu alie TULIA kwenye KITI.
Ukiwa busy unatembea ni ngumu kuzimika...ukikaa TU.
NB. Ile siku niliogopa sana sana wale jamaa..pale ugenini wange nifanya nini..ningezalilika sanaa ila ndio ivyo dawa zili lipuka nikiwa sehemu salama
Kweli ponea yangu ni kunyanyuka pale na kusepa baada ya kunywa kile ki flying fish..Hapa ulicheza kama Pele.
Mm ningerud lile eneo nianze vagi na huyo muhudumu aliyekuletea Glass.
Binafs situation kama hizo hazijanikuta.
Bad experience yangu ya bia ilikuwa Miaka kadhaa nyuma nakaa Kinondon stereo, nikapata kampan ya jamaa mmoja jiran. Ana mastory huyo πππeneo Lote la Kinondon anawajua mastar. Mpaka kina TID , Ben Kinyaiya, wale majamaa wa FM academia, Akudo, tumekaa nao sana Kupata nao kimea.
(Nyuma ya Mango garden)
Yaan Mida nikitoka job kabla hata sijafika magheton jamaa anakuendea hewan. Anakuita njoo sehem flan. Ukienda anakuanzishia bia 1.
Story kwa sana. Kuja kushtuka saa 6 hii hapa. Alaf ww umewanunulia bia 5 tano wakat ww walikulambisha kamoja πππ jamaa sijui alikuwa na dawa yule.
Alionea sana , kama mwaka hivi.
pona pona yangu nilihama ule mitaa ndio mazoea yakakata.
Uwana gan huo kila siku ni mm tu ndio nasimamia shoo. ππππ yeye ni mdomo tu mzaramo yule.
Kweli Mimi ndio nakua dj napiga nyimbo mzee usiombe niwe djs napigaga ngoma HATAREEENdiyo maana kaka mim ni muoga sana kwenda kulewa pekee yangu ,napenda niwe na mtu au watu japo wawe wana kibunda pia sio wanitegemee kwa kila kitu labda kama ni vigen z vyangu hapo sawa nitagharamika kila kitu ila kikubwa niwe na kampani kwasababu mimi zikipanda kichwani napenda sana mziki sasa naweza kuwa nipo nabargain na DJ aniwekee ngoma kali mara niwekewe vitu vibaya nikate moto
Ukiwa na KAMPANI hata ugenini sio rahisi kupata majanga Wana lazima wageuke UMOJA wa MATAIFA πNdiyo maana kaka mim ni muoga sana kwenda kulewa pekee yangu ,napenda niwe na mtu au watu japo wawe wana kibunda pia sio wanitegemee kwa kila kitu labda kama ni vigen z vyangu hapo sawa nitagharamika kila kitu ila kikubwa niwe na kampani kwasababu mimi zikipanda kichwani napenda sana mziki sasa naweza kuwa nipo nabargain na DJ aniwekee ngoma kali mara niwekewe vitu vibaya nikate moto
Chai,mlinzi hawezi mchoma mfanyakazi mwezakeNilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na mlinzi anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka.
Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza mlinzi akanijulisha mwanadada ameweka tembe kwa kinywaji changu niliagiza kinywaji kingine .
Baadaye nikamwambia mwanadada tuende zetu kwangu akakubali. tulitoka tukaingia kwa gari langu tukaanza safari mwanadada alikua na mkoba wake.baada ya mwendo wa kilomita 10 nikajifanya gari lina shida nikaizima nikamshawishi mwanadada ashuke asukume gari.
Pindi tu aliposhuka na kusukuma gari niliwasha na nikaenda kwa mwendo wa kasi .Nilipofika kwangu kilomita 20 niliangalia mkoba wake nikapata tembe hamsini za kufanya watu walale.Hizi ndio anatumia kuwekea watu kwa kinywaji na kuwaibia.Nilifanya makosa kweli
Ndiyo maana kaka mim ni muoga sana kwenda kulewa pekee yangu ,napenda niwe na mtu au watu japo wawe wana kibunda pia sio wanitegemee kwa kila kitu labda kama ni vigen z vyangu hapo sawa nitagharamika kila kitu ila kikubwa niwe na kampani kwasababu mimi zikipanda kichwani napenda sana mziki sasa naweza kuwa nipo nabargain na DJ aniwekee ngoma kali mara niwekewe vitu vibaya nikate moto
Kweli Mimi ndio nakua dj napiga nyimbo mzee usiombe niwe djs napigaga ngoma HATAREEE
Kweli Mimi ndio nakua dj napiga nyimbo mzee usiombe niwe djs napigaga ngoma HATAREEE
Upo sahihi mkuu π UTAMU wa KAMPANI ni huu mna pigana KAMPANI ila sio Kila siku ni wewe tu kununulia watu pombeeeUkipata wana wa bia , wawili watatu na wote muwe mnajiweza ina kuna na raha yake.π»π»π»π»
Bill ikija mna split kiroho safi. Siku huna unatag ubavu kwa wana na wanakuelewa.
Maana sio kila mara utakuwa njema.
Na hawa ndio Wana hata ukipata matatizo wana feel na kuwa sambamba na ww.
Ila wale wa Kubeba beba na kuwanunulia bia ww kila siku ni kama chawa wako. Siku ukiwa na shida. Hawawez kukuokoa.
Mimi ninalo ILO chimbo ila kwa Sasa nataka nipunguze kunywa na ma KAMPANI ya MUPE MURUKE ππUpate chimbo moja zuri. Au Liquor store moja matata. Haina wateja weng. JBL speaker ya maana.
Aaah unaenjoy sana tu.
Mimi ninalo ILO chimbo ila kwa Sasa nataka nipunguze kunywa na ma KAMPANI ya MUPE MURUKE ππ
Hakika japo kaka tuchawa hatukosi hata ufanyeje ,utatukimbia jumatatu ila ijumaa tutakuotea tuUkipata wana wa bia , wawili watatu na wote muwe mnajiweza ina kuna na raha yake.π»π»π»π»