MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Dah pole sana aiseeUkiwa na KAMPANI hata ugenini sio rahisi kupata majanga Wana lazima wageuke UMOJA wa MATAIFA 😊
HAWAWEZI KUACHA KUTOA MSAADA Mimi SIKU IYO NILIKUA MWENYEWE SASA YULE DADA MUHUDUMU AKAONA NA PESA NDEFU AKAPATA TAMAA AKA WAPA TAG WALE WAHUNI
NDIO IVYO MUNGU AKANIOKOA
Hivi kaka nikisema IPM amewahi kuwa kampani yangu kabla ya kuwa nabii nitaeleweka kweli ?Mimi ninalo ILO chimbo ila kwa Sasa nataka nipunguze kunywa na ma KAMPANI ya MUPE MURUKE 😊😊
Sema kwa wanawake nilisha tundika daluga muda mrefu Sasa wife yupo....Kwahiyo wanakuita Papaa?.😂😂😂😂
kabisa kabisa. Punguza.
Huruma sio Malezi
Wapo wana wanaojielewa, na pia huwa wanaushaur vizur kuhusy matumizi.
Unajua kwa mfano ukiwa na wana wa hovyo hata ukilewa ndio wanachochea kibunda kichanike vizur na pisi pia wanakuletea ili utoboke zaid 😂😂😂😂.
Ipm ndio nani fafanua kaka 😊 una aminika kaka vitabu vya dini vinasema hata yule alie kua MLEVIIIIII na Malaya utashangaa kesho anaitangaza ingili KULE galilayaaHivi kaka nikisema IPM amewahi kuwa kampani yangu kabla ya kuwa nabii nitaeleweka kweli ?
Asante ilikua way back 2021 iviiiiDah pole sana aisee
Jamaa mmoja anahubiri sana kuhusu maisha ,na kesho kutwa ana kitu wanaita mkutano wa wanaume pale mlimani city .Ipm ndio nani fafanua kaka 😊 una aminika kaka vitabu vya dini vinasema hata yule alie kua MLEVIIIIII na Malaya utashangaa kesho anaitangaza ingili KULE galilayaa
ukimpa hela atafanyaChai,mlinzi hawezi mchoma mfanyakazi mwezake
Duuh. Hii ni kwa wanawake hadi wale watu wako wa karibu au hao huu ushetani nyoka waliukosa?Usimuonee huruma mwanamke
Mwanamke ni shetani nyoka.
Nimesikia sikia tupe neno kakaaJamaa mmoja anahubiri sana kuhusu maisha ,na kesho kutwa ana kitu wanaita mkutano wa wanaume pale mlimani city .
Hahaha😂Mwenye bawabu😁
Aisee kumbe yule jamaa aliyekuja kwa kuyumba yumba alikuwa anaigiza tu, na yawezekana alikuwekea dawa kwenye kinywaji.Makamanda wenzangu min -me , secretarybird , Castle_Lite , dosho12 , Mshana Jr , MENEMENE TEKERI NA PERESI na makamanda woteeeeeee ambao ni wadau wa VINYWAJI CHANGAMSHI kwa Ujumla bila kumsahau mdogo angu Monetary doctor
Nilikua muda sana mpaka nikawa naogopa kwa kweriiiii niliogopa...Aisee kumbe yule jamaa aliyekuja kwa kuyumba yumba alikuwa anaigiza tu, na yawezekana alikuwekea dawa kwenye kinywaji.
Ndo maana wazee wanasema ukisia sauti ya ndani usiidharau.
Kwa kweli hilo ni fundisho, nadhani siku zilizofuatia uliongeza umakani zaidi.Nilikua muda sana mpaka nikawa naogopa kwa kweriiiii niliogopa...
Kingenikuta nini ninge endelea kukaa pale kwenye ile meza na wale WAHUNI wamefanya wao..
Ule usingizi niliona lala pale restaurant ulikua mzito mno kiasi cha kunishangaza yaani flying fish tatu zikufanye upoteze network?