Kilichonikuta leo!

Boloyoung

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
682
Reaction score
652
Hamjambo wananchi?

Leo kuna kisa kilinikuta ndo maana nilipotea ilikuwa ivi, yaani kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya kuingia kwenye LIFTI wakati kila mtu anatafakari afanyeje me wakati huo nilikua nayaangalia MAZIWA yake kwa jinsi alivyoumbika yaani hata ungekuwa wewe ungeyatazama tu. Mara nikasikia sauti nyororo inasema "bonyeza moja" me si nikalibonyeza? Kumbe alimaanisha moja ya kitufe cha lift mweh!
Kilichotokea hapo naomba mmoja ajitokeze kusimulia kwa niaba yangu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ulichokiandika tu kinaonesha unamiaka mingapi, wala haihitaji degree kujua miaka Yako......Usihangaike kujua miaka Yangu.
Aya niambie miaka yangu, yako usiniambie na usichungulie kwa profile yangu maana nimedanganya!
 
Idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…