Kilichonikuta Sauna

Mambo mengine ni Hatari. Sauna ni Mambo ya Ulaya ambako kuna Baridi yaani unaweza kukaa miezi sita Hujatoka jasho. Sasa Hapa Bongo jua kali hili mtu unakwenda Sauna? Kumbe ni Kiasi kina trump watuite Shitholes
 
Kwa hiyo walioweka sauna hapa Tanzania ni shithole
 
Jua la saa ngapi
Unalotaka wewe asubuhi, mchana.
Nina suala moja ukienda kwenye Sauna unategemea kupata faida gani?
Mimi nimeishi Germany miaka sio chini ya 16. Najua watu wanaokwenda Sauna huenda kwa sababu gani. Na hivyo huwa wanaenda wakati wa baridi na sio wakati wajoto
Joto la jua ni more Healthy kulikono joto la Sauna. Ndio utaona wazungu wanatoa pesa nyingi tu kuja huku Tanzania, na sio kubakia kwao kwenye sauna
 
Haa jua kabisa linavyochoma mweee
We sasa huku hatuna barafu acha twende mara moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…