Kilichonikuta Sauna

Kuna Sauna moja tumetoka kuijenga Mbeya..... itakua sauna ya kwanza nyanda za juu kusini, bonge moja la Sauna, kwa mlioko Mbeya iko maeneo ya Meta, Milo Group.
Hii sauna ipo maeneo gani
Hahaha Wapenzi wa Sauna Mkuje hapa! Tukutane Nefaland Hotel
Hivi bado wapo pale Nefaland.. Mara mwisho kwenda ilikuwa elfu 10 kwa session
 
Eeeeh aiseh alaf bad ya kujikojolea ikawaje.... muendelezo tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…