Kilichonikuta Sauna

Hakuna kitu napenda kama kukoment ntakavyo bila kujali uzi ni wa nani

Asanteee magu watu tunakojoa hata kwa mvuke wa sauna hureeee
aiseee hii battle daaahh haya endeleeni nione mshindi
 
Unajua kuna wadada humu wana mabwana jf sasa wakiona sisi wengine tunaandika nyuzi kujifurahisha nyoyo zetu wanaona mabwana zao mamende ,wakati wanaume wa humu malaya kweli hata sio wa kuwawazia
hahaaa kumbe wanaume wahumu ni mamende mnoooo daaahhh
kama ndio hvyo kwli basii hawafai manina
 
Sasa mkuuu utakuwa umekojoa au umejikojolea
 
Hata sijui tulitoka chuu tukakata ,sasa yanatokea pale pale pa kukojolea
Ndiyo hapo huwaga vinatokea hakuna sehemu nyingine ila siku nyingine naomba unialike ili nione ndoyo vinatokea hapo kweli au kuna sehemu nyingine? [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…