Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #141
Ni demu wako?Ndio swahiba wangu, mtetezi wangu, ngoja aje akiwashie moto shwain wee, huwezi kuniita mie bolo dinda wakati mie ni saint kabisa.. [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema tuMakaveli niseme eti au?
Unaona unvyojiteteaUseme nini we jishongondoe tuu..
Unaona mi nasemaga ukweli tuBasi wakubwa washaelewa Cc Mama Sabrina
Ww ndio makaveli!?Semaa
Itakua ni demu wake huyo DinaNi demu wako?
HahahahaaUnaona mi nasemaga ukweli tu
Muulize mwenyewe.Ni demu wako?
Wacha uchakubimbi..Sema tu
Kwani mie koo mpaka nitetee..Unaona unvyojitetea
Hakuna ukweli wowote uliosema.Unaona mi nasemaga ukweli tu
JishaueHakuna ukweli wowote uliosema.
Naona mlikuwepo wakati tunatongozana, nyie msiharibu ndoa za watu dina ana mtu wake.. Mie nishakuwa saint siku hizi, mimi na magoma basi.Itakua ni demu wake huyo Dina
We nae mnaaa weweHahahahaa
Sio wewe ndio wajishaua!?Jishaue
Huku anakutakaga na weweItakua ni demu wake huyo Dina
Kwanini hutaki asemeWacha uchakubimbi..
Kaolewa na nani?Naona mlikuwepo wakati tunatongozana, nyie msiharibu ndoa za watu dina ana mtu wake.. Mie nishakuwa saint siku hizi, mimi na magoma basi.
Nyoosha sentesi yako.Huku anakutakaga na wewe
Kwani nimemziba mdomo, aseme.Kwanini hutaki aseme