Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flani mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu).
Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO.
Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000.