Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Acapella ndo kitu gani Jomba?
 
Halafu wakati namsaidia pale maziwa ni kama yalikuwa yamesimama na sikuona sidiria wakati wa tukio Full LAPA. Sijui alichezeshaje pale
Hawa viumbe wana tu-teknolojia twao hivi mchina akasome, niliwahi shangaa dem nnaemjua ni full ndala katoka boobs zipo kama zile za surgery na huoni sidiria
 
Hawa viumbe wana tu-teknolojia twao hivi mchina akasome, niliwahi shangaa dem nnaemjua ni full ndala katoka boobs zipo kama zile za surgery na huoni sidiria
Noma sana
 
Wajinga ndio waliwao
 
Mzee afadhali wewe ulinunua,

Kuna ile unamuona demu pisi unaanza kutongoza (sio kununua) mdg mdg, anaanza kukuringia mara akaupige vizinga then mwisho wa siku unagundua anajiuzaga. Hapo ashakuchomoa almost 200k kumbebisha na game umekula mara moja tu ila kuna jamaa zinakula 10k kwa bao kila siku jioni, hahahahahaa
 
Sinza yote si salama
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuopoa pale Mlimani city kwenye parking Zile, hivi ndio panaingilikaje?
 
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…