Kilichonivutia JF..

Ndungi

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
28
Reaction score
15
Mimi ni mgeni humu ndani, nimekuwa napitia kwa muda sasa 'as a guest' kiukweli JF ni sehemu inayofanya mtu usiboreke.
Kilichonivutia zaidi ni upatikanaji wa habari kwa haraka, kila unaposikia jambo fulani ukiingia JF tayari lipo, hivyo basi naomba mnipokee tafadhali.
 


New I'd mnatutakisha nn
 
Karibu sana
 
Kumbuka pia humu kuna uhakiki wa vyeti humu.. Maana kila mtu humu kasoma chuo udsm na kila mtu ni maneger/ director wa sehem flan

Wengi wana ela, magari, madem/ waume wazuri
 
saw karibu mkuu,ila nawe uwe unaleta habari mpya ukipat.usitegemee tu walete wengne kam uvokuwa unazionaaa.....kiding
 
karibu sana! ila ujitambulishe vizuri ni nke au ndume?
 
Aamenn karibu mae!!
 
Karibu ila pumzika sebuleni kwanza ujuzwe utaratibu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…