Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji23] [emoji23]Nimekuzoea kwenye thread na sio nje ya hapo.
Ndio maana nimeamua kuingia kundini.Na ww ulete habari aisee
Wabeja sana nkohi.Tolehoi sana nkwingwa.....karibu sana ndugu
Wabeja sana nkohi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbuka pia humu kuna uhakiki wa vyeti humu.. Maana kila mtu humu kasoma chuo udsm na kila mtu ni maneger/ director wa sehem flan
Wengi wana ela, magari, madem/ waume wazuri
Ahsante, nilishakaribia ndugu.Krb sana JF...