johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Enyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe inashuka!The average price of oil /barrel was 63.27 (2020), the Average price of oil/Barrel is 62.26(2021) and next year's forecast shall be average oil/barrel will be 60.74(2022).
Ni hatari sn na aibu kubwaNi Baada ya Ndugai Kutambua Yesu ana Mke Dunia imeona itushushie Sisi pekee bei maana tumegundua jambo kubwa sna
Bado Bei haijabadilikaKilichotokea ni tozo na rushwa
OkBado Bei haijabadilika
Mgogoro wa Taleban na MarekaniEnyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
Kungekuwa na katiba mpya huyo jamaa hasingekuwa ofisiniBado nimeona bei ni ile ile 2,511 vituoni, lakini likitolewa tamko la kupandisha sekunde hiyo hiyo bei mpya zinasoma......hapa kuna janja janja ya ewura na wamiliki wa vituo vya mafuta, kuna jamaa kule ewura huwa anatetea bei za mafuta hadi mate yanamkauka...........
Havina uhusianoMgogoro wa Taleban na Marekani
Jamaa mmoja aliniambia nchi hii ni zaidi ya unavoijua.Tozo mbona zambia ni 1200 kwa lita na tunaagiza sehemu moja na yanapitia Bandari hii yetu.
Nchi zote jirani bei ipo Chini.
Hii siyo kweli labda ni bei ya mafuta ya nazi, lakini bei ya mafuta yanayochimbwa ardhini bei imepanda duniani kote. Mwaka jana evarage ya mafuta kwa marekani ilikuwa ni $2 kwa galloni, na sasa hivi imepanda kuwa zaidi ya $3 kwa galloni. Angalia bei za mafuta ya OPEC zilivyopanda kwenye graph hii. Average price ya barrel mwaka 2020 ilikuwa $39.68 kwa pipa, na sasa hivi ni $64.23 kwa pipa.The average price of oil /barrel was 63.27 (2020), the Average price of oil/Barrel is 62.26(2021) and next year's forecast shall be average oil/barrel will be 60.74(2022).
Walevi uongoza misukuleJamaa mmoja aliniambia nchi hii ni zaidi ya unavoijua.
Kama ni soko la dunia kwanini bandanri za Dar, Tanga na Mtwara zitofautiane viango vya upandaji??Enyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
Sio bei ya mafuta ya nazi kama unavyokebehi. Bei niliyoitoa kwa mwaka huu haitofautiani sana na ya kwako. Bei za mafuta hupangwa tofauti kidogo, zile fluctuation zikiwa za soko la dunia huwa compensated na windfall iliyopatika kipindi cha nyuma. kwa hiyi bei ya mafuta katika nchi haiwezi kuachiwa ikayumba yumba kihivyo kwani ita affect sector nyingi zinazotegemea mafuta.Hii siyo kweli labda ni bei ya mafuta ya nazi, lakini bei ya mafuta yanayochimbwa ardhini bei imepanda duniani kote. Mwaka jana evarage ya mafuta kwa marekani ilikuwa ni $2 kwa galloni, na sasa hivi imepanda kuwa zaidi ya $3 kwa galloni. Angalia bei za mafuta ya OPEC zilivyopanda kwenye graph hii. Average price ya barrel mwaka 2020 ilikuwa $39.68 kwa pipa, na sasa hivi ni $64.23 kwa pipa.
View attachment 1920830