Kilichoongeza Bei ya mafuta ni tozo au kupanda kwa bei kwenye soko la dunia?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Enyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
 
Ni Baada ya Ndugai Kutambua Yesu ana Mke Dunia imeona itushushie Sisi pekee bei maana tumegundua jambo kubwa sna
 
Tunaongeza kisha tunapunguza ili serikali yenu ya awamu ya sita ionekane kuwa ni sikivu.
 
The average price of oil /barrel was 63.27 (2020), the Average price of oil/Barrel is 62.26(2021) and next year's forecast shall be average oil/barrel will be 60.74(2022).
 
The average price of oil /barrel was 63.27 (2020), the Average price of oil/Barrel is 62.26(2021) and next year's forecast shall be average oil/barrel will be 60.74(2022).
Kumbe inashuka!
 
Bado nimeona bei ni ile ile 2,511 vituoni, lakini likitolewa tamko la kupandisha sekunde hiyo hiyo bei mpya zinasoma......hapa kuna janja janja ya ewura na wamiliki wa vituo vya mafuta, kuna jamaa kule ewura huwa anatetea bei za mafuta hadi mate yanamkauka...........
 
Kungekuwa na katiba mpya huyo jamaa hasingekuwa ofisini
 
Wanaweweseka hawajui wanachokifanya mara washike hapa mara wachie pale......
 
Tozo mbona zambia ni 1200 kwa lita na tunaagiza sehemu moja na yanapitia Bandari hii yetu.
Nchi zote jirani bei ipo Chini.
 
Tozo mbona zambia ni 1200 kwa lita na tunaagiza sehemu moja na yanapitia Bandari hii yetu.
Nchi zote jirani bei ipo Chini.
Jamaa mmoja aliniambia nchi hii ni zaidi ya unavoijua.
 
The average price of oil /barrel was 63.27 (2020), the Average price of oil/Barrel is 62.26(2021) and next year's forecast shall be average oil/barrel will be 60.74(2022).
Hii siyo kweli labda ni bei ya mafuta ya nazi, lakini bei ya mafuta yanayochimbwa ardhini bei imepanda duniani kote. Mwaka jana evarage ya mafuta kwa marekani ilikuwa ni $2 kwa galloni, na sasa hivi imepanda kuwa zaidi ya $3 kwa galloni. Angalia bei za mafuta ya OPEC zilivyopanda kwenye graph hii. Average price ya barrel mwaka 2020 ilikuwa $39.68 kwa pipa, na sasa hivi ni $64.23 kwa pipa.

Enyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
Kama ni soko la dunia kwanini bandanri za Dar, Tanga na Mtwara zitofautiane viango vya upandaji??
 
Sio bei ya mafuta ya nazi kama unavyokebehi. Bei niliyoitoa kwa mwaka huu haitofautiani sana na ya kwako. Bei za mafuta hupangwa tofauti kidogo, zile fluctuation zikiwa za soko la dunia huwa compensated na windfall iliyopatika kipindi cha nyuma. kwa hiyi bei ya mafuta katika nchi haiwezi kuachiwa ikayumba yumba kihivyo kwani ita affect sector nyingi zinazotegemea mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…