Kilichosababisha kocha Fadlu kuondoka Simba


Ile ni ajira, ili ajira idumu lazima ufanye vizuri. Hakuna mchezaji mwenye akili timamu akakubali ahongwe ili acheze chini ya kiwango wakati unajua kabisa juhudi zako ndizo zitakazokupa soko. Mchezaji ni kama bidhaa inayotakiwa kupanda thamani, hao wakina Mavambo, Ngoma, Manula Mohamed Hussein hakuna yeyote aliyethibitisha kupokea rushwa zaidi ya kuishia kuwatuhumu tu. Na lingine Mavambo kauliwa kiwango na kocha wenu Fadlu.
 
Kama unamuhisi huyo basi umekosea, Yule yupo kama picha tu kwenye klabu ya Simba hana mamlalaka yeyote yale.
 
mimi ni yanga mkuu,nilikuwa natolea ufafanuzi.
 
Hamna kocha pale Bora wameondoka wote.
 
Team inapata tabu kwenye ku create chances na back pass kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…