DC ana laana ya kuwabugudhi madada poa.POINT TUPU , anavyoongea huyo jamaa utazani ni mkuu wa wilaya , alafu yule dc ndii chinga
CCM wamsajili.Chuo alifukuzwa. Hakumaliza. Ni kada wa CHADEMA. Kawekwa ndani mara kadhaa. Ni mfuasi mtiifu Kwa Mbowe.
HatqreeViongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki. Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua. Wamachinga wa leo wako mbele sana ya muda. Hii video ni ya mfanyabiashara aliyetema facts tupu mbele ya RC. Chama chenye tuhuma za kutafuna michango ya wanachama wake kimemtaja kuwa ni mwanachama wake.
View: https://www.instagram.com/reel/C9KRjz1oWNA/?igsh=bGNvM28zMDY2bXpm
Huyo Bomboko mbona kama mtu wa pande za wala urojo!!
Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki.
Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua. Wamachinga wa leo wako mbele sana ya muda.
Hii video ni ya mfanyabiashara aliyetema facts tupu mbele ya RC. Chama chenye tuhuma za kutafuna michango ya wanachama wake kimemtaja kuwa ni mwanachama wake.
PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024
Achana na mambo ya temporaryLakini ukweli uliopo,kwa faida ya msiolijua hili eneo la Simu2000 ni kwamba,kituo cha daladala cha Sim2000 hakikuwa permanent yaani hakikujengwa kitumike miaka yote,kilijengwa ili kukidhi matumizi ya daladala ambazo baada ya muda fulani zote zitatoweka hapa mjini Dar,na usafiri utakao chukua nafasi ni wa mabasi ya mwendo Kasi.
Kosa walilofanya watu wa serikali,nikutoweka wazi mipango yao kwa wananchi,wangewaambia mapema kuwa Simu2000 ni temporary.
Nawaonea huruma hao wafanyabiashara sijui kama hoja zao zinaweza kubadili ramani ya eneo hilo,sababu barabara zimeishajengwa tayari.
Credits
Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki.
Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua. Wamachinga wa leo wako mbele sana ya muda.
Hii video ni ya mfanyabiashara aliyetema facts tupu mbele ya RC. Chama chenye tuhuma za kutafuna michango ya wanachama wake kimemtaja kuwa ni mwanachama wake.
PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024
Magu alikuwa fala na mshamba TU!!!Tumshukuru Mama Samia kwa kuheshimu ibara ya 18 ya katiba inayotoa uhuru wa kutoa maoni. Enzi za JPM hao wafanyabiashara wangesambaratishwa.
Serikali ya Tanzania haiwajali kabisa raia wake. Inawaona kama vituko. Ipo siku watu watachoka kuvumilia upuuzi.Achana na mambo ya temporary
Na blah blah zingine...unazotoa
Kwanza kiuhalisia wamiliki wa eneo hilo ni ttcl ....ilikuwa
Turudi sasa kwenye mada,karakana ya UDA mwanzoni ilikuwa,kurasini huko eneo la huko wakampa galco-GSM sahv imekuwa ICD yao..
Stendi ya mkoa ubungo ilipohamishwa plan ilikuwa UDART sasa eneo hilo walitumie kama karakana ,badaye gia ikabadilishwa eneo hilo wakampa mchina ajenge soko lake ....
Vibopa wakaa wakaona hata wanyonge wakuwaonea nani ndy wakaja na wazo la eneo la sim2000
Ova
Wewe ni mpumbavu kama hao viongozi wa serikali ya Ubungo. Halafu hata nchi zilizoendelea zinakuwa na options za usafiri. Kusema kutegemea usafiri wa mwendokasi peke yake ni kuirudisha nchi nyuma kwa miaka 50. Inatakiwa mabasi ya mwendokasi, daladala na treni ili kukidhi haja ya usafiri. Pia kuziondoa daladala zote ni kupoteza ajira za maelfu ya watu na pia kupoteza mapato ya serikali. Kimsingi UDART ni mradi wa kipigaji zaidi na sio vinginevyo.Lakini ukweli uliopo,kwa faida ya msiolijua hili eneo la Simu2000 ni kwamba,kituo cha daladala cha Sim2000 hakikuwa permanent yaani hakikujengwa kitumike miaka yote,kilijengwa ili kukidhi matumizi ya daladala ambazo baada ya muda fulani zote zitatoweka hapa mjini Dar,na usafiri utakao chukua nafasi ni wa mabasi ya mwendo Kasi.
Kosa walilofanya watu wa serikali,nikutoweka wazi mipango yao kwa wananchi,wangewaambia mapema kuwa Simu2000 ni temporary.
Nawaonea huruma hao wafanyabiashara sijui kama hoja zao zinaweza kubadili ramani ya eneo hilo,sababu barabara zimeishajengwa tayari.
Machawa hawataki kazi wanataka kulipewa buku Saba ndo maana wengi wanasadikiwa kuwa chakula Cha wakubwasafi sana tunahitaji watu wa namna hii na sio machawa
Tulia weweeeNilichopenda maandamano hayakua na fujo kama kwa jiran zetu.
Na jinsi walivokubal kutulia baada ya mkuu wa mkoa kuwasikiliza