Mambo vipi nauli ya kuja JF ni bei gani kwani? mpaka unune utoe povu la nini sasa??vyuma vimekaza ondoa stress kwanza!! ucheke kidogo ufukuze uzee!! moja, hatuwezi kuwa wote sawa kiakili hivyo chukulia maisha poa maisha ndo haya haya! hata wazungu wanayafata huku! ni wewe kujiongeza kufata yale wazungu wanayoyafata kwetu! kifupi maisha yapo Bongo!! Nawapenda wote kazi njema!ukipenda comment ila mimi nimechoka kazi ndo maana nimekuja na story hii!