Kilichotukuta Jana ijumaa sitosahau

Kilichotukuta Jana ijumaa sitosahau

Abushiry

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
91
Reaction score
75
Wakuu inakuaje,,stay safe,,stay home tujilinde na Corona inaua...tufate maagizo yote ya serikali.ahsante

Nirudi kwenye mada,,Jana siku ya ijumaa mimi na mshikaji wangu tulitoka kuswali mida ya saa nane,,tupo njiani tukaona acha twende buguruni malapa kwa msela wetu tumcheki


Tumetembea Kama nusu saa na dakika zake Mara paap ! Mbele yetu tukamcheki demu m1 mkali kiaina fulan hiv age Kama 29 umbo kama wema sepetu karelax zake kivulin anapiga Pepsi big anasubir daladala ya kuelekea mnazi m1...dahh nkampanga mchizi wangu kua mi ntajitutumua niende pale walau nitoke na contact tuu,,msela kagoma kasema we hutoweza ile show na jinsi ulivokua mdogo kiumri na umbo,acha niende Mimi ntakupa mrejesho(moyoni nkajisemea jamaa anataka abebe mzigo mwenyew,,POA bhana).


Bas msela kajipanga kwenda,,nkamwambia bas jikoki kweli make ile show n Kali mchizi wangu,,msela kanambia tulia ucheki movie dogo,nkarelax bwana


Baada ya msela kwenda akafka hapo alipokua demu,,wakaongea pale MDA kweli Kama dakika 20 hv,,dah nkajiuliza msela vipi wameanza kufundishana ama,basi nkachoka kusimama make nlikua nimesimama nimeegemea mti,,nkakaa kabisa ile nataka kutoa kismu changu kucheza game nipoteze MDA mara naskia yule dada si kaanza kupga kelele za mwizi kwa msela...duuhhh msela katoka mbio huku anakuja uelekeo wangu,,Mara watu wakaacha kazi zao wakatia mguu kumkimbza msela..

Mhh nkaona hapa ushakua msala,,nlichofanya Kwanza nkamkataa msela afu nkaingia kwa mama ntilie alokua pale jirani na maeneo nlokua,,nkanunua msosi bla kupenda ili nkwepe msala ule....nkajichmbia mule ndani Kam lisaa hivi,,ndo nikatoka akili yangu ikanituma kwenda moja kwa moja home kwa msela,, MUNGU so athuman I nkamkuta bwanaa Wala Hana hata jeraha,,akanambia "nimekoma mchizi sirudii tena yule dada mshenzi kwelii duh mpaka simu nimepoteza kwenye kukimbia,,stor ntakupa weekend,acha nipumzke Kwanza,,uhhhh"

Nkatoka zangu huku kicheko kimenibana ,,

Usiona vinaelea bwanaa,,vimeundwa asee😂😂 nkakakumbuka hako kamsemo
 
Kama hujatwambia msela nini aliongea na dada na why alipigiwa ukelele futa siredi
 
Dadeki zake, ila Usitutishe mazeeee,

Corona ipo kitaaa kuwa makini
 
Kama hujatwambia msela nini aliongea na dada na why alipigiwa ukelele futa siredi
Ahahaha mkuu ndo nasubr mwsho wa weekend msela anipe stor ilvokua make saivi kadata bado😂😂
 
Kama mlitoka kuswali na mkaanza kufanya hayo mambo basi ninyi wote wewe na rafiki yako ni wapumbavu kabisa hamna hata heshima katika huu mwezi mnaouita mtukufu.
 
Mk
Kama mlitoka kuswali na mkaanza kufanya hayo mambo basi ninyi wote wewe na rafiki yako ni wapumbavu kabisa hamna hata heshima katika huu mwezi mnaouita mtukufu.
Mkuu hzo n harakat za ujana,na sio kosa kufany vle Kwan amezin msela! Altak tu mawasilian mengne yangefat Wenda angemuoa,,somtymz fikiria
 
Back
Top Bottom