Sasa hilo tukio lilitokea bambalaga au wapi mbona pale ni peupe na kuna movements za watu Sana,au ndio mlitolewa mtutu!!!Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.
Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.
Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.
Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.
Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.
Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.
Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya
Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
Hata huyo mshikaji wake na mleta mada ni changudoa tuKampiga denda changudoa [emoji1785]
😄😄😄😄Ndio mkome, si umalaya wenu.
Unashangaa denda mkuu? Watu wanazama chumvini alafu wanavaa ndom. Kuna galz wako smart, wawezapagawa mpaka ukatangaza ndoa..Kampiga denda changudoa
Hawana shida wale wana viwanja vingine vingi vya urithi, soon watafungua nyingine!Atakuwa ameisha maana mmiliki ni mmoja
Labda kwenye parking space huko.Sasa hilo tukio lilitokea bambalaga au wapi mbona pale ni peupe na kuna movements za watu Sana,au ndio mlitolewa mtutu!!!
Bora umesema yaani nimesoma huku nimekunja sura.Hiko kibaa chenu huwa kina kashfa kibao ila mnazidi kwenda kila siku.
Sema tu kuwa, mmiliki wa hiyo ni wa ivyoivyoUmeambiwa Bambalaga. Iko karibu na Shopping Mall/Shell kabla ya Kisasa.
Jamaa yako kama sio wewe ni mjinga tu!! Alikubalije/ulikubalije kuliwa denda kirahisi hivyo?
Inaonekana yeye/wewe ni mgeni pale. Wajanja wanapajua kuwa pale ni mesheni town tupu wamejaa.
Wanamharibia mwenye baa bila yeye kujua. Anatakiwa awe anawabadili kila mara ili wawe na hofu ya kutokufanya ujinga.
Siku nyingine uchukue tahadhari kwani pale sio poa ni pa hovyo sana.
Sema tu kuwa, mmiliki wa hiyo ni katika wahalifuUmeambiwa Bambalaga. Iko karibu na Shopping Mall/Shell kabla ya Kisasa.
Jamaa yako kama sio wewe ni mjinga tu!! Alikubalije/ulikubalije kuliwa denda kirahisi hivyo?
Inaonekana yeye/wewe ni mgeni pale. Wajanja wanapajua kuwa pale ni mesheni town tupu wamejaa.
Wanamharibia mwenye baa bila yeye kujua. Anatakiwa awe anawabadili kila mara ili wawe na hofu ya kutokufanya ujinga.
Siku nyingine uchukue tahadhari kwani pale sio poa ni pa hovyo sana.
Kiherehere ni wewe uliyeleta uzi wa kutendwa kijinga jinga. Una bahati sana,siku nyingine utakuta vijeba vimenata makalioni [emoji1][emoji1][emoji1]Umeulizwa weye?Acha kiherehere!
Umeandika kama levi fulani hivi. Edit ili isomeke vizuri we mgogo wa Kongwa[emoji1][emoji1]Mbona mnaichukia Bambaga kwa ajili ya Malaya wanaonunua na wanaojiuza, mwenye Bar anahusikaje mpaka muiombee Ife?
Waswanu ndipo tukimaliza tunahamia Bambaga sehemu waheshimiwa hawafiki Bali wapambe na madereva
Uwezo wa bei za bia Rainbow, Club 84 Dodoma hotel hatuna acheni tunywe Bei ya serikali Bambaga na waswanu zisife
Uwe na adabu!Siyo kila kiumbe humu JF unanza kujitungia stories kumuhusu.Grow up,kid!Unataka mzee kama mimi nianze kusutana na weye?Kiherehere ni wewe uliyeleta uzi wa kutendwa kijinga jinga. Una bahati sana,siku nyingine utakuta vijeba vimenata makalioni [emoji1][emoji1][emoji1]