Mwenye bar atakuwa mtu wao au anagawana nao faida si kwamba ajuiUmeambiwa Bambalaga. Iko karibu na Shopping Mall/Shell kabla ya Kisasa.
Jamaa yako kama sio wewe ni mjinga tu!! Alikubalije/ulikubalije kuliwa denda kirahisi hivyo?
Inaonekana yeye/wewe ni mgeni pale. Wajanja wanapajua kuwa pale ni mesheni town tupu wamejaa.
Wanamharibia mwenye baa bila yeye kujua. Anatakiwa awe anawabadili kila mara ili wawe na hofu ya kutokufanya ujinga.
Siku nyingine uchukue tahadhari kwani pale sio poa ni pa hovyo sana.
EFD itoke wapi bar za uswaziUkilipa bill omba lisiti ya EFD ndo komesha yao wahudumu na wamiliki wa Bar
πππππHahahahah mkuu ning'iniza hata ys fekoni yako acha dharau boss[emoji1787]
Ohooo!!! Hivi hujui kuwa vitoto vidogo vinaweza kula kuliko mtu mzima? Utamwita mtu mzima?Crown, Fuga na Brevis zinaanzaje kuwa baby walker ma v6 yalee[emoji45][emoji45] yanataka chakula heavy[emoji23][emoji23]
Unaijua mbambalaga wwEFD itoke wapi bar za uswazi
Utakuwa hujui magari au unajitoa ufahamu tu kwa sababu unazozijua mwenyewe. Ma engine makubwa hayo na hayo magari hayataki mafuta ya vidumu. Tena hizo crown ukikuta ile majesta ina engine ya v8. Ata hyo baby walker unavyo type inaonyesha unailazimisha tu kimoyomoyo unajisemea naandika ujingaπππOhooo!!! Hivi hujui kuwa vitoto vidogo vinaweza kula kuliko mtu mzima? Utamwita mtu mzima?
Fuga,Crown, Brevis ni baby walker zilizochangamka tu!!!