Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Ila waarabu. Nimewavulia kofia. Nigeria wameona cha mtema kuni humo Libya baada ya kukarishwa airport kwa masaa 16 bila huduma yoyote. Wakiwa wamefungiwa. Hakuna hata WIFI.
Hii ni zile harakati za kila mara za Waarabu. Siku zote ukienda cheza na Waarabu ujue huwa ni wakatili sana katika games zao. Jamaa huwa wanawa frustrate wapinzani kwa kila namna. Hawa jamaa hawaheshimu kabisa wenzao. Hasa hizi ngozi nyeusi.
Nawaonea huruma sana Simba.watachapika vibaya sana kule Libya. Sana siyo kidogo. Watachakaaa.