Kilichowakuta Team ya Nigeria Libya hawana hamu. Simba mjiandae. Ndo mtawaelewa Waarabu

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Ila waarabu. Nimewavulia kofia. Nigeria wameona cha mtema kuni humo Libya baada ya kukarishwa airport kwa masaa 16 bila huduma yoyote. Wakiwa wamefungiwa. Hakuna hata WIFI.

Hii ni zile harakati za kila mara za Waarabu. Siku zote ukienda cheza na Waarabu ujue huwa ni wakatili sana katika games zao. Jamaa huwa wanawa frustrate wapinzani kwa kila namna. Hawa jamaa hawaheshimu kabisa wenzao. Hasa hizi ngozi nyeusi.

Nawaonea huruma sana Simba.watachapika vibaya sana kule Libya. Sana siyo kidogo. Watachakaaa.

 
Mwarabu ni katili kila nyanja.
Hiyo ndio asili yake.
 
Unajua mwamba Staff wa Simba hufika nchi ya timu pinzani week 2 kabla ya mechi na kuanda hotel na kila kitu kitakacho ihusu Simba SC ugenini. Kwaiyo nikuondoe hofu kuhusu Simba labda uto.
 
Hao walibya tukiendelea kuwachekea kuna siku wataiteka timu nzima na kupiga risasi wachezaji.

Wanahamu ya mafanikio ila wanataka kutumia shortcut.
 
Huna habari kuwa timu ya Libya tulishaiondoa tena kibabe au unazungumzia Libya ya Kariakoo?
 
Ni wakati sasa CAF iwe ni kwa nchi za sisi weusi tu hao waarabu wawe na shirikisho lao maana wanazidi upumbavu.
 
Reactions: K11
Mzee upo uchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…