Mengo kavu ni chakula gani mkuu,Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa fedha zao na sisi tutalipa riba ambayo ni mzigo mkubwa kwa Nchi, yapo mambo mengi madogomadogo Mama ameji commit kuyafanya na pesa haitoshi, muda nao ni mfupi wa kukamilisha yale yaliyoahidiwa na ilani ya CCM, tusipokuwa waangalifu na mikopo hii Nchi itawekwa rehani kama ilivyotokea kwa WaZambia Kheri mengo kavu kuliko pilau ya deni.
wazanzibar kuendesha nchi hawawezi!!Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa fedha zao na sisi tutalipa riba ambayo ni mzigo mkubwa kwa Nchi, yapo mambo mengi madogomadogo Mama ameji commit kuyafanya na pesa haitoshi, muda nao ni mfupi wa kukamilisha yale yaliyoahidiwa na ilani ya CCM, tusipokuwa waangalifu na mikopo hii Nchi itawekwa rehani kama ilivyotokea kwa WaZambia Kheri mengo kavu kuliko pilau ya deni.
ni embe mbichi kuila bila chumviMengo kavu ni chakula gani mkuu,
Magu alikataa mikopo ya WB na nchi hisani au alinyimwa kwa siasa zake na kukimbilia ya mabenki?Si mlisema magufuli hana akili kukataa mikopo na kukomaa na uchumi wa ndani na kuwakamata mafisadi papa?
Wacha kazi iendelee hadi iendelee tena.
Watoto wa mjini wanasema "Bado haujasema"
Hii Hema huwa inamaanisha nn??ni embe mbichi kuila bila chumvi
Na mchina nasikia kashakimbia , kazi imesimama mpaka sasa , mturuki ndio huyo alikimbia kazi baada ya malipo kusuasua .Kukopa kumetosha. Ni kweli nchi itawekwa rehani. Naona hata SGR ya Mwanza mpaka Isaka sioni kasi yake.
Kazi imesimama hicho kipande cha Isaka -MwanzaKukopa kumetosha. Ni kweli nchi itawekwa rehani. Naona hata SGR ya Mwanza mpaka Isaka sioni kasi yake.
Hakuna Rais aliyekopa kwa muda mfupi fedha nyingi kama Magufuri.Si mlisema magufuli hana akili kukataa mikopo na kukomaa na uchumi wa ndani na kuwakamata mafisadi papa?
Wacha kazi iendelee hadi iendelee tena.
Watoto wa mjini wanasema "Bado haujasema"