Kilichowaponza taifa stars..

Kilichowaponza taifa stars..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kiukweli ni aibu Sana kufungwa na vibonde Cape Verde.. yaani ukizingatia tulikuwa kwenye nafasi nzuri.. haya ndo yaliyotucost...

1.ukosefu wa holding middfield..
team ilikosa umiliki wa mpira.. na hivyo team kushindwa kutulia hali iliyochangia Cape Verde kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza...wachezaji ambao ni holding midfield wazuri ni kama jonas mkude.. huyu anajua kutuliza presha na team inatulia.. lakini hakuwepo...

2...uwepo wa defensive midfielder wawili...
Kilichoikosti stars. ni uwepo wa viungo wakabaji wawili.. yaani himid mao, na mudathir yahaya.. na pia Simon msuva alicheza kama free role yaani kiungo anayeshuka kuchukua mipira na kuzunguka kwenda winga ya kulia na kushoto...

3..ukosefu wa attacking midfield.. Msuva pekee alishindwa kuifanya team ishambulie.. sababu viungo wenzake himid na mudathir wao kiasili ni viungo wakabaji.. hii ilichangia msuva kushindwa kutengeza mashambulizi.. nafasi kama ile ajibu au kichuya ni wazuri wa kutengeneza mashambulizi...

4..ubutu wa beki ya Kati na ya kushoto... alikosekana beki mwenye sauti na maamuzi ya haraka kama Kelvin yondani.. hii ilisababisha agrey Morris na abdi banda waliocheza Kati Kati kukosa maelewano hasa agrey Morris.. ikabidi David mwantika ambaye alicheza kama holding midfielder.. aingie Kati kumsaidia Morris.. hata hivyo nae baada ya gadiel Michael kupwaya kushoto na kutolewa ikabidi banda acheze kushoto na mwantika acheze na Morris Kati... na pia kapombe acheze Kama holding midfield...

mwisho kabisa tuwape pole stars kwani nafasi ipo japokuwa ni ngumu sana...

"pancho bishoo jeuri "
 
IMG-20181013-WA0003.jpg
pamoja na mambo yote ila waandishi wahabari nawao waliwajaza vichwaa nakusahau kuwa cape Verde ni wa 67 sisi ni wa 100+,kifupi hatukuwaheshimu
 
Kiukweli ni aibu Sana kufungwa na vibonde Cape Verde.. yaani ukizingatia tulikuwa kwenye nafasi nzuri.. haya ndo yaliyotucost...

1.ukosefu wa holding middfield..
team ilikosa umiliki wa mpira.. na hivyo team kushindwa kutulia hali iliyochangia Cape Verde kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza...wachezaji ambao ni holding midfield wazuri ni kama jonas mkude.. huyu anajua kutuliza presha na team inatulia.. lakini hakuwepo...

2...uwepo wa defensive midfielder wawili...
Kilichoikosti stars. ni uwepo wa viungo wakabaji wawili.. yaani himid mao, na mudathir yahaya.. na pia Simon msuva alicheza kama free role yaani kiungo anayeshuka kuchukua mipira na kuzunguka kwenda winga ya kulia na kushoto...

3..ukosefu wa attacking midfield.. Msuva pekee alishindwa kuifanya team ishambulie.. sababu viungo wenzake himid na mudathir wao kiasili ni viungo wakabaji.. hii ilichangia msuva kushindwa kutengeza mashambulizi.. nafasi kama ile ajibu au kichuya ni wazuri wa kutengeneza mashambulizi...

4..ubutu wa beki ya Kati na ya kushoto... alikosekana beki mwenye sauti na maamuzi ya haraka kama Kelvin yondani.. hii ilisababisha agrey Morris na abdi banda waliocheza Kati Kati kukosa maelewano hasa agrey Morris.. ikabidi David mwantika ambaye alicheza kama holding midfielder.. aingie Kati kumsaidia Morris.. hata hivyo nae baada ya gadiel Michael kupwaya kushoto na kutolewa ikabidi banda acheze kushoto na mwantika acheze na Morris Kati... na pia kapombe acheze Kama holding midfield...

mwisho kabisa tuwape pole stars kwani nafasi ipo japokuwa ni ngumu sana...

"pancho bishoo jeuri "
Mkuu, Cape Verde sio vibonde. Ukiangalia viwango vya FIFA, sisi ndiyo vibonde.
Sijui tumepata wapi imani potofu kuwa Cape Verde ni vibonde.
 
Sio kweli kuwa hatuwawezi cape Verde. Tatizo letu ni kuwa hatuna wachezaji. Hawa waliopo sio wachezaji. Hawawezi kucheza kabisa. Hawajiamin. Hawajui kuwa mpira ni pesa. Sielewi kama wanapochagua wachezaji huwa wanaangalia vitu gani. Hawa wachezaji hawana sifa kabisa ya kuwepo kwenye team ya taifa. Sisi kama taifa tuna wachezaji wenye uwezo, wenye sifa. Tushawahi kuwa na wachezaji wenye uwezo kama akina tenga. Akina pondamali na wengine. Katika wakati ule ambapo wachezaji walipatikana kwa vipaji. Walitoka vijijin. Walicheza kwa kujiamin na walikuwa hawana hofu. Hawa wa sasa wapo kama sio watanzania, yaan ukiangalia wanavocheza kama unahasira unaweza kupiga mtu risasi. Hawana sifa kabisa ya kuwakilisha taifa. Wanatia aibu sana.

Lakin pia serikali inapaswa kutambua kuwa siku hizi mpira ni pesa, ni ajira kwa vijana na ni source ya income kwa nchi. Waache juu ujinga wanaofanya . wawekeze vya kutosha. Wawe wakali kwa vilabu na team mbali mbali zinapokuwa zimeleta aibu kwa nchi. Wawe wakali kukemea viongozi wa vilabu wanapokuwa wanabolonga. Mpira ni ajira, mpira ni utajiri. Ni sector muhimu sana katika nchi.
 
Ukweli kutoka moyoni niseme tu wazi wakati wanapiga wimbo wa taifa wa Tanzania nilijua moja kwa moja tunafungwa wachezaji wanaonekana wamekosa kabisa uzalendo mwimbo wa Taifa unapigwa wachezaji hata hawaimbi ukiona wanaimba basi lazima wabadili ubeti nyuma mbele mbele nyuma walionekana hawana utulivu,uzalendo, vyote kulikua Hakuna walipo anza kupiga wimbo wa taifa wa Cape Verde wachezaji wote waliweka mikono kwenye mioyo yao kuonyesha uzalendo na wote waligeuka upande mmoja walionyesha hamasa ya Hali ya juu na walikua na ari Sisi tulianza kufungwa kabla ya mechi kuanza tulikosa uzalendo kwa kweli na ukweli nilijiuliza ki moyo moyo mbona wachezaji wetu hawana uzalendo inasikitisha mchezaji hajui kuimba wimbo wa Taifa kaaaaz kwel kwel
 
Lakini mkuu mbona hata Rooney hajui kuimba wimbo wa taifa..
 
Sio kweli kuwa hatuwawezi cape Verde. Tatizo letu ni kuwa hatuna wachezaji. Hawa waliopo sio wachezaji. Hawawezi kucheza kabisa. Hawajiamin. Hawajui kuwa mpira ni pesa. Sielewi kama wanapochagua wachezaji huwa wanaangalia vitu gani. Hawa wachezaji hawana sifa kabisa ya kuwepo kwenye team ya taifa. Sisi kama taifa tuna wachezaji wenye uwezo, wenye sifa. Tushawahi kuwa na wachezaji wenye uwezo kama akina tenga. Akina pondamali na wengine. Katika wakati ule ambapo wachezaji walipatikana kwa vipaji. Walitoka vijijin. Walicheza kwa kujiamin na walikuwa hawana hofu. Hawa wa sasa wapo kama sio watanzania, yaan ukiangalia wanavocheza kama unahasira unaweza kupiga mtu risasi. Hawana sifa kabisa ya kuwakilisha taifa. Wanatia aibu sana.

Lakin pia serikali inapaswa kutambua kuwa siku hizi mpira ni pesa, ni ajira kwa vijana na ni source ya income kwa nchi. Waache juu ujinga wanaofanya . wawekeze vya kutosha. Wawe wakali kwa vilabu na team mbali mbali zinapokuwa zimeleta aibu kwa nchi. Wawe wakali kukemea viongozi wa vilabu wanapokuwa wanabolonga. Mpira ni ajira, mpira ni utajiri. Ni sector muhimu sana katika nchi.
sikupingi mkuu
 
Cape Verde sio vibonde wako wa 67 kwenye FIFA rankings..juu ya Uganda...usishangae kesho kutwa tukapigwa tena kwa mchina..hawa jamaa walifuzu world cup wakafanyiwa zengwe
Kweli mkuu??.. Basi hawafai hawa jamaa
 
Dahhh Mwana upo sahihi kipindi naangalia mechi siku ile nililiona pengo la mkude na mtu ambae angeweza kuka na mipira dimba la juu kama Ajibu au kichuya ili kuwapenyezea akina Samata , Msuva na Ulimwengu
 
Nashukuru sana mwana kama uliangalia umeona mwenyewe..
 
Back
Top Bottom