Kilifi Kenya: Mume amuuwa Mkewe sababu ya kujiunga Instagram

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Mahakama Kuu ya Mombasa imemhukumu Murad Awadh Mbarak (40) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumuua mke wake, Nuru Ibrahim, katika eneo la Kanamai, Kaunti ya Kilifi.

Mahakama ilisikia kuwa mnamo Juni 19, 2022, Mbarak alimchoma kisu mke wake huyo mwenye umri wa miaka 28 mara kadhaa kufuatia migogoro ya kifamilia iliyodumu kwa muda. Miongoni mwa sababu za ugomvi huo ni kutokubaliana juu ya uamuzi wa marehemu kujiunga na mtandao wa kijamii wa Instagram kinyume na matakwa ya mumewe.

Wakati wa kuomba adhabu ipunguzwe, Mbarak aliiambia mahakama kuwa anajutia kitendo chake na ameweza kutafakari akiwa rumande tangu mwaka 2022. Aliomba apewe huruma, akidai sasa hana mke, hana watoto wala makazi.

Hata hivyo, upande wa mashtaka uliieleza mahakama kuwa mauaji hayo yalikuwa ya kikatili na yasiyo ya kibinadamu. Ilidaiwa kuwa Nuru Ibrahim, mama wa watoto sita, alivuliwa nguo na kuchomwa kisu mara nyingi mbele ya watoto wake na majirani. Aidha, ilielezwa kuwa mshtakiwa alifanya jitihada za makusudi kuwazuia majirani wasimwokoe.

Katika hukumu yake, mahakama ilizingatia ukatili wa tukio hilo na kuthibitisha hatia ya mshtakiwa, kisha kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.
 
Ile ya nataka mume anaepumua tu ndio hayo sasa...
Na ukifatili hapo pana zaid ya instagram,watoto 6 huyo dada vipi
 
Kobaz again

Ukichunguza, utakuwa waliambiwa msikitini Instagram ni haram 😂
Sio uwongo kaka inawezekana mwaka 2011 nikiwa kilwa masoko nilimsikia muhubir wa kiislam akisema eti watoto wasiangalie cartoon zimetengenezwa na MANII ZA KIUME (SHAHAWA) kwa kweli nilishangaa sana na watu wanampigia makofi


Elimu elimu elimu
 
Dada zetu nao wanajichanganya sana mtu ana sura za wale jamaa wa Al-Shabaab na Boko Haram bado unakubali kuishi nae!?,hao mimi hata biashara za kudumu sifanyi nao, dakika yoyote kinanuka.
We hujui tu
huyo dada yaani mke wake naye alikuwa Boko Haram:
gaidi hupendwa na gaidi mwenzake:
hapo nyumbani palijaa Majini ya kutosha sana, wewe unategemea nini hapo?
Bila ya upendo wa Kristo ni kazi bure mjomba
 
Dada zetu nao wanajichanganya sana mtu ana sura za wale jamaa wa Al-Shabaab na Boko Haram bado unakubali kuishi nae!?,hao mimi hata biashara za kudumu sifanyi nao, dakika yoyote kinanuka.
My thoughts as well, the dude's facial features gives the chills of a tickling time bomb.
 
We hujui tu
huyo dada yaani mke wake naye alikuwa Boko Haram:
gaidi hupendwa na gaidi mwenzake:
hapo nyumbani palijaa Majini ya kutosha sana, wewe unategemea nini hapo?
Bila ya upendo wa Kristo ni kazi bure mjomba
Wakristo hawauani?
 
Sio uwongo kaka inawezekana mwaka 2011 nikiwa kilwa masoko nilimsikia muhubir wa kiislam akisema eti watoto wasiangalie cartoon zimetengenezwa na MANII ZA KIUME (SHAHAWA) kwa kweli nilishangaa sana na watu wanampigia makofi


Elimu elimu elimu
Ukiwa kobaz kuna namna lazima uwe na matatizo ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…