Kilimanjaro airport bado inamilikiwa na mama mkapa??

Kilimanjaro airport bado inamilikiwa na mama mkapa??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapendwa nimeona niulize leo hivi huyu mama bado anamiliki hiki kiwanja jamani
nakumbuka enzi za mumewe madarakani alichukua hisa nyingi tu za kilimanjaro airport
na kufikia kumilikishwa kila kitu huku wakilipa ati million moja na nusu kwa mwezi
sijui laana ngapi atazipata huyu mama nahisi un accountable
 
Hapana broda...Kwa sasa by 100% shares ni mali ya serikali, japo bado makabidhiano rasmi kuki'entrust kwa TAA!
 
Afadhali jamani afadhaali tunapumua mi hii nkataba yake ilinifanya niende haja siku hiyo kufika nikasikia maji yanatoka nikachekuna bomba la dawasco la hasha kumbe ni mharisho wa shock
 
Mwanzo kulikuwa na wabia wa3 or more kampuni moja ya Kingereza, South Africa na ya kibongo (Inter Consult) ambayo inamilikiwa na kina Felix Mosha. Sasa sijui mama aliingia kupitia umbrella ipi. Though kama alivyosema PJ kwamba serikali ili repossess shares zato. However when it comes to perfromance is still very poor and I am not sure if the management KNOWS how to make the Airport busy.
 
Back
Top Bottom