Wanaondesha hii Restaurant ni waswahili kutoka nyumbani na tarehe 3 Jul 2010 wamefunguwa rasmi kuuza vyakula vya kinyumbani na wanatoa offer ya half price kwa kila kilichokuwepo kwenye menu Inshaallah. baadhi ya vyakula vitakavyokuwepo ni:-
Mishkaki
Urojo Mix
Biriani
Pilau
Na vyengine
support wenzetu wenye kuanzisha biashara binafsi kama hii au nyenginezo inshaallah.