Pre GE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yaingia Himo, yapokelewa kwa kishindo

Pre GE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yaingia Himo, yapokelewa kwa kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote.

Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua

Hali ilikuwa hivi

Screenshot_2024-07-09-23-02-56-1.png
Screenshot_2024-07-09-23-02-34-1.png
Screenshot_2024-07-09-23-02-46-1.png
Screenshot_2024-07-09-23-02-21-1.png
 
Acha uongo wako! Sikuwahi kuona mkutano uliodorora kama huu, hakuna watu kabisa!
 
Back
Top Bottom