Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 9, 2024 #1 Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote. Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua Hali ilikuwa hivi
Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote. Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua Hali ilikuwa hivi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 10, 2024 Thread starter #2 Mungu ibariki Chadema
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Jul 10, 2024 #3 Mshaingia ikulu kwa mapokezi haya!
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jul 10, 2024 #4 Acha uongo wako! Sikuwahi kuona mkutano uliodorora kama huu, hakuna watu kabisa!