LGE2024 Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria

LGE2024 Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X

"Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria.

"Wagombea wote wa CHADEMA wameenguliwa bila kupewa nakala za fomu."


Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

1731084324182.jpeg

1731084337134.jpeg

20241108_195624.jpg

Kupata matukio mengine ya kiusala wakati huu wa uchaguzi bofya hapa: LIVE - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wakuu,

Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X

"Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria...


Kule Gaza wazembe ni wale wanaoacha ofisi na majengo ya magaidi bila kuyalipua kwa moto wa mabomu .

Kule Ghaza Gaidi ni yeyote anayevunja sheria halali za nchi ili kuweka tawala dhalimu .

Kulia lia hakujawahi kuwatisha magaidi duniani kote. Magaidi wanajibiwa kwa moto mkali usikuku na mchana.

Kwa Tizedi Mbowe Chadema imemshinda kwa kishindo kikuu.
 
Back
Top Bottom