Naona maandaliz ya kuwapokea mabeberu
wewe ni mpumbavu..beberu hawezi kuja wakati anayemkaribisha kavaa mask.
..na kabla hajaja lazima athibitishe na ubalozi wake kama hali ni salama.
Je, wewe ndie msemaji wa watalii toka Sweden?wewe ni mpumbavu
swedeni maisha yanaendelea na wanafuata taratibu za afya walizoambiwa
Na watalii wanaenda kama kawaida ,ila wewe kilaza umekaza ubongo tu huelewi nini sasa
Watalii wanajua corona haitaisha, na maisha lazima yaendelee, tahadhari ni muhimu
Sasa wapumbavu kama nyie ndio mnasababisha Tanzania tuonekane wajinga
wewe ni mpumbavu

Je, wewe ndie msemaji wa watalii toka Sweden?
Hivi mpumbavu sio yule anayetembelea kiwanja cha ndege kukaribisha watalii, wakati tumeambiwa maabara yetu haifanyi kazi, na yule anaeamini kweli watalii watakuja Tz kwenye mazingira kama hayo huku akitumia lugha kali kutetea!, wakati wazungu wanapanda ndege kurudi kwao?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutavunja mbavu!Bongo movie imehamia upande huku siunajua tena
Hata iweje hali itachukua muda mrefu ili kurudi kama ilivyokuwa awali
Unalinganisha Sweden na Tanzania badala ya Burundi na Tanzania.wewe ni mpumbavu
swedeni maisha yanaendelea na wanafuata taratibu za afya walizoambiwa
Na watalii wanaenda kama kawaida ,ila wewe kilaza umekaza ubongo tu huelewi nini sasa
Watalii wanajua corona haitaisha, na maisha lazima yaendelee, tahadhari ni muhimu
Sasa wapumbavu kama nyie ndio mnasababisha Tanzania tuonekane wajinga
Awamu hii inaongoza kwa uongo uongo huku madeni ya Nje sijui kama yanalipika..tatizo bwana mkubwa akisema UONGO watu wa chini yake wanaanza kuhangaika kumfichia AIBU kwa wananchi.
..bila uchumi wa nchi za mabeberu ambako ndiko watalii wengi wanatokea kutengemaa sekta yetu ya utalii haitoweza ku-perform vizuri.
..kupatikana kwa VACCINATION pia kunaweza kusaidia kuwawezesha watalii kuwa na confidence ya kwenda popote duniani na wasiwe na hofu ya covid19.
Kwanini wawe na hofu while hata uko kwao ipo yani unazungumza as if wakija tanzania wanakuja kuambukizwa wakati huko kwao ndio imejaa ila wao wameamua kuichukulia poa uwe unasikiliza vyombo vya habari vya kimataifa uone ulaya hali ikoje..tatizo bwana mkubwa akisema UONGO watu wa chini yake wanaanza kuhangaika kumfichia AIBU kwa wananchi.
..bila uchumi wa nchi za mabeberu ambako ndiko watalii wengi wanatokea kutengemaa sekta yetu ya utalii haitoweza ku-perform vizuri.
..kupatikana kwa VACCINE pia kunaweza kusaidia kuwawezesha watalii kuwa na confidence ya kwenda popote duniani na wasiwe na hofu ya covid19.