Kilimanjaro - Kampuni ya Irvings Tz Ltd

Kilimanjaro - Kampuni ya Irvings Tz Ltd

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
2,004
Reaction score
1,095
Wana JF naomba anaefahamu contact address ya hii kampuni( Irvines Tz Ltd) ya vifaranga vya kuku anipe hapa.

Ni kampuni mpya makao yake ni kule Zimbabwe lakini nasikia wamefungua kampuni huko Kilimanjaro

Wafugaji wa kuku oeeeeeeee!
 
Oeeeee...
Wana kipi cha ziada hiyo kampuni nami niitafute?
 
Wana vifaranga vya kuku standard nawatafuta niwasiliane nao kiwanda kiko Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom