Watu bado wana 'hangover' ya Simba na Yanga.
Moshi ni mji mzuri
hhhhhhh, Tuseme hao walioenda kule Moshi ni malimbukeni kwenye uwanja huu na wakavuna!! The Kenya SpiritAsante kilam kama kawaida Wakenya walichukua chao, halafu hawakuja wababe wa hayo mambo, wapo kule Tokyo na kwengineko.
ww uko upande gani nikuone ulivyo kama unafanan na hapo kwenye hicho kipicha
Moshi pasafi sana, halafu wana sheria za Kinairobi Nairobi, kwamba ukipatikana unatupa taka ovyo unakamatwa, halafu askari huwa wameahidiwa kulipwa kwa kila wanayemkamata akichafua mji.
Halafu kijijini wana nyumba nzuri nzuri sana, tatizo wengi hawaishi huko. Na ndio hawa Wachagga unaowaona Nairobi, na kwengineko, wanajenga nyumba nzuri vijijini kwao lakini wanaenda msimu wa Krisimasi tu basi. Kuna wale hulipa jamaa zao kuishi kwenye hizo nyumba.
Niko hapa mkuu hunioni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]ww uko upande gani nikuone ulivyo kama unafanan na hapo kwenye hicho kipicha
Sasa mbona Nairobi pachafu?