Kilimanjaro marathon 2017, naomba updates

Wacha ujinga ww apa mjini kutamu sana foleni unazoea
 
Uko sawa...Moshi mzunguko wa hela ni mdogo kwahyo tunazitafuta tukipata tunajenga nyumba msimu wa sikukuu tunarudi na familia zetu kuzungumza na ndio njia pekee yawachaga kukutana....mikoani ndio sehemu sehemu kutaftia fedha mf dar, arusha mwanza na kwengineko...
 
Sio moshi tu, njoo Dodoma, Morogoro na Iringa pia, miji yenye mvuto na usafi wa hali ya Juu.
 
Sio moshi tu, njoo Dodoma, Morogoro na Iringa pia, miji yenye mvuto na usafi wa hali ya Juu.
Morogoro hamna maji ya bomba. Full matatizo kwenye mahoteli, nimekua pale juzi.
 
Haya ni madongo mepesi unajaribu kutu tupia wana- DSM. Kwahiyo Nairobi ni mji inaongara kama dhahabu. Behu kimbilia google kidogo utafute:
NAIROBI FLOODS PHOTOS.
 
Morogoro hamna maji ya bomba. Full matatizo kwenye mahoteli, nimekua pale juzi.
Hoteli gani hiyo wewe morogoro ulifikia haina maji??
But hii idara ya Maji hapa Moro ni jipu lingine.
 
Hoteli gani hiyo wewe morogoro ulifikia haina maji??
But hii idara ya Maji hapa Moro ni jipu lingine.

Kutaja majina humu itakua kuwaharibia biashara, ilhali kosa la ukosefu wa maji mjini sio lao, na nitakua nakiuka kanuni za JF lakini nakwambia kilichonikuta huko. Maji hotelini yanaletwa kwa malori maana mji hauna maji kwenye mabomba.
 
Aaah! Hivi Morogoro ni pa taabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…