Kilimanjaro Marathon 2020

Youngblood

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,433
Reaction score
56,810
Umuofia kwenu.

Habari za weekend ndugu zangu.
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wana JF wote wanaopenda na wanaoshiriki Kilimanjaro Marathon.

Mbio zijazo zitafanyika tarehe 01.03.2020.

Mbio hizi zimegawanyika kama ifuatavyo

5km
21km
42km

Ningetamani sana sisi kama wana jamii forum tuwe na kikundi chetu maalumu cha washiriki wa mbio hizi na tupeane updates mpaka siku hiyo itakapofika.
Jaribu kwa maoni na mapendekezo.

Nb.
 
Wazo zuri sana mkuu
Naunga mkono hoja mie nipo tayari kwa half marathon km 21
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…