Kilimanjaro Marathon Results

Gwizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
629
Reaction score
854
Kilimanjaro Marathon was held on 3rd March 2019 (jana), nimetafuta results kwenye mtandao nikakosa. I however stumbled upon the results for the 2018 edition. See below:

42 KM



21 KM


Hapa Kidogo WaTZ walijikaza. Lakini Hawa ni WaTZ kweli? Hayo majina nikama ya Kikenya hivi:

7. Paul Muite
9. George Njoroge
15. Bernard Wambua
16. Langat

Hawa nawashuku sana!!!

Any way nice try. Haya mtusaidie na matokeo ya 2019 we see whether you have improved πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakenya kwenye mbio mko vizuri tu ila muache kutuibia vitu vyetu.

Juzi napiga kwenye mtandao mmoja wa picha za watu wazima nakuta ile video ya Amber Rutty mmeshaitengeneza na kuonekana ni yenu wakati Amber Rutty ni Mtanzania.

Nilishangaa kweli.
Hehe ati picha za watu wazima 😎😎😎!! Hata nyinyi naona mmeiba Njoroge, Muite, Wambua na Langat hapo juu!!!
 
Hehe ati picha za watu wazima 😎😎😎!! Hata nyinyi naona mmeiba Njoroge, Muite, Wambua na Langat hapo juu!!!
Amber Rutty ni Mtanzania na ile video ni yetu acheni wizi mazeee.
 
Matokeo ya akina dada:

42KM



21KM



Huyo Matanga Abdi amejaribu sanaa. If you continue nurturing her talent, you might just win a Bronze medal in the olympics πŸ˜›

Alafu number 7 ... Emily Chepkemoi from Tanzania?? How now??
 
Lakini wamejaribu sana .... hujaona akina Njoroge an Chepkemoi wamerepresent!!!
42 Km kwa wanaume 1-20 ni wakenya isipokua 15! Kweli wamejaribu, ukizingatia kwamba mbio zenyewe zilikuwa kule maeneo ya Kilimanjaro, Kenya. Hahaaa. [emoji1]
 
42 Km kwa wanaume 1-20 ni wakenya isipokua 15! Kweli wamejaribu, ukizingatia kwamba mbio zilikuwa kule Kilimanjaro, Kenya. Haha. [emoji1]
Hahaha Kilimanjaro Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ.... The highest point in Africa. Here is the view from Nairobi CBD
 
Cheza chini Gwizzy, meanwhile nangoja wenzetu watuletee orodha ya washindi wa mbio za mwaka huu.
 
Waache wakenya watupite wakija kwetu tutawapita na sisi......
 
Nilikua nimesajiri kwa hii ya mwaka huu japo nikabanwa, T-shirt yangu ndio hivyo sitaipata, ila washkaji wangu kutokea Kenya waliwakilisha kama kawa, subiri nitaleta humu matokeo.
 
Watanzania tunaenda Kili kutembea na kutalii.

Hatujawa serious kwenye mambo kama haya.

Mi na washikaji zangu tulienda kama kutalii, hatujawahi fanya mazoezi lakini tukabeba medali.

95% ya watanzania walioshiriki sidhani kama walishawahi fanya mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unaleta matokeo ys 2018.

Hio ya jana (2020 edition) nimeifuatilia matokeo yalikua hivi:

42 km: number 1 to number 5 ni Wakenya

21 km: number 1 to 5 ni Watz.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…